googleAds

Lampard achafukwa roho

LONDON, England

KOCHA wa Chelsea, Frank Lampard amechukizwa na kipigo cha bao 1-0 walichokipata dhidi ya Newcastle, kwenye mchezo wa Ligi Kuu England, wikiendi iliopita.

Lampard amewataka wachezaji wake kuonyesha juhudi, wanapokuwa eneo la hatari

“Hatukuwa makini eneo la hatari, vijana walizingua dakika zote za mchezo, ukiangalia hata mechi yenyewe Newcastle hawakutusumbua kiviile, sijapendezwa na hili kabisa,” alisema Lampard. Bao la Newcastle lilifungwa na Isaac Hyden, dakika ya 90 ya mtanange huo ikiwa nyumbani


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*
*