Wasafi Festival kuzinduliwa leo Oman

MUSCAT, OMAN

WASANII wanaounda lebo ya WCB, Diamond Platnumz, Rayvanny, Mbosso, Lavalava, Harmonize, Queen Darleen na RJ The Dj, wanatarajia kukonga nyoyo za mashabiki wao katika tamasha la Wasafi linalozinduliwa leo katika bustani za Intercontinental, Muscat, Oman.

Hatua hiyo imekuja baada ya Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), kuwapa ruhusa ya kuendelea na tamasha hilo Januari 22, mwaka huu, baada ya kufungiwa mwaka jana kwa kosa la kukiuka sheria na taratibu ambazo ziliwekwa na baraza hilo.


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*
*