VIGOGO SIMBA WAWEKA KIKAO CHA DHARURA TAIFA KUIJADILI YANGA

NA SALMA MPELI  |  

MUDA mfupi baada ya Simba kuichapa Tanzania Prisons mabao 2-0 katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliochezwa jana kwenye Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam, vigogo wa timu hiyo walikutana kujadili mwenendo wa timu pamoja na mchezo wao wa Ijumaa dhidi ya Lipuli na ule wa Yanga utakoachezwa Aprili 29, mwaka huu.

Baada ya kumalizika mchezo huo ambao umewafanya Simba kuendelea kukaa kileleni wakiwa na pointi 58, vigogo hao wa Simba walifanya kikao hicho ndani ya gari la Kaimu wa Rais wa Wekundu wa Msimbazi, Salim Abdallah ‘Try Again’, kwa dakika kadhaa kisha kuondoka zao.

Katika kikao hicho, Simba …

Kwa habari zaidi jipatie nakala ya gazeti la BINGWA.


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*
*