Vidic kupewa shavu Man United

MANCHESTER, England 

BEKI wa zamani wa Manchester United, Nemanja Vidic, huenda akarejea Old Trafford, kama kocha mkuu wa kikosi cha pili cha timu hiyo wenye umri wa miaka 23.

Vidic alistaafu kukipiga soka mwaka 2016, baada ya kuitumika Manchester United, kwa miaka tisa.

Kwa sasa Vidic anaishi katika Jiji la Milan, Italia, huku ikidaiwa hakuna uhakika endapo atakubali ofa hiyo.


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*
*