googleAds

U-15 fiti kushiriki Cecafa

GLORY MLAY

Kocha wa timu ya Taifa ya Tanzania ya vijana wenye umri chini ya miaka15 ( U-15),  Maalim Saleh, amesema  wachezaji wake wameiva kwa michuano ya Baraza la Vyama vya Soka Afrika, Mashariki na Kati (Cecafa).

Michuano hiyo imepangwa kuanza Ijumaa hadi Septemba mosi, mwaka huu, nchini Eritrea.

Akizungumza na BINGWA jana, Saleh alisema wachezaji wapo fiti kwa michuano hiyo, wakitarajiwa kuondoka nchini keshokutwa, huku malengo yao yakiwa ni kufanya vizuri.


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*
*