Tottenham yamnasa Ndombele

LONDON, England 

KLABU ya Tottenham, imemtangaza Tanguy Ndombele akitokea Lyon kuwa mchezaji rasmi wa timu hiyo.

Ndombele, amesajiliwa kwa pauni milioni 65 (sh bil.188) na kusaini mkataba wa miaka sita kukipiga klabuni hapo.

Nyota huyo wa kimataifa wa Ufaransa, anafananishwa staili ya uchezaji wake na kiungo wa zamani wa Chelsea, Michael Essien.


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*
*