Suker: Modric ndiye kiungo bora duniani

MADRID, Hispania

UNAMKUMBUKA mpachikaji mabao wa zamani wa Arsenal, Davor Suker? Kwa uzoefu wake, Luka Modric wa Real Madrid ndiye kiungo bora kuliko wote duniani.

Suker, ambaye aliwahi pia kukipiga Madrid, kwa sasa ni rais wa Shirikisho la Soka la nchini kwao Croatian.

“Si rahisi (kusema Modric ni bora duniani) kwa sababu kuna Cristiano (Ronaldo), (Lionel) Messi, Neymar, Luis Suarez… lakini Modric ni bora katika nafasi yake ya kiungo.


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*
*