googleAds

Suarez aiumiza kichwa Barcelona

CATALUNYA, Hispania

FOWADI wa Barcelona, Luis Suarez ameumia kifundo cha mguu na atakuwa nje ya dimba kwa muda miezi miwili.

Daktari wa timu hiyo, amesema Suarez atafanyiwa uchunguzi zaidi kufahamu ukubwa wa tatizo lake.

Suarez aliumia wakati wa mechi ya ufunguzi wa Ligi Kuu Hispania, maarufu La Liga, wiki iliyopita walipocheza na Athetic Bilbao.


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*
*