Sanchez akimbiwa kisa mshahara

MANCHESTER, England

ZIPO klabu kadhaa zinazomtaka staa wa kimataifa wa Chile anayetajwa kuwa mbioni kuondoka Manchester United, Alexis Sanchez.

Hata hivyo, zinakwama mara tu linapofikia suala la mshahara wa mshambuliaji huyo.

Inaeleweka kuwa klabu ambazo hadi sasa zimeshaonesha nia ya kumpa ajira ni Inter Milan na Juventus.


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*
*