REAL MADRID KUANZA NA NEYMAR

MADRID,    Hispania

TIMU ya Real Madrid imesema kwamba, sasa ndio wakati mwafaka wa kumchukua straika wa PSG, Neymar.

Awali vinara hao walikuwa wakihusishwa na nyota wa Chelsea,  Eden Hazard na wa Bayern, Robert Lewandowski,   lakini inaripotiwa watakayeanza naye ni Neymar……..

kwa habari zaidi jipatie nakala yako ya BINGWA.


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*
*