POGBA AWAAGA MABOSI UNITED
MANCHESTER, England
KIUNGO ghali wa Manchester United, Paul Pogba, ameuambia uongozi wa timu hiyo kuwa anataka kutimka.
Hiyo inakuja siku chache baada ya kauli chafu ya Kocha Jose Mourinho kuwa Pogba hawezi kuwa nahodha wa kikosi hicho.
Leave a Reply