Kumbe kuna sayari inaitwa Wenger

LONDON, England Arsene Wenger wiki hii amefikisha miaka 20 katika klabu ya Arsenal. Baada ya mambo yote kwenye soka la England, unaweza ukafikiria unamjua ‘Le Professeur’. Kocha huyo Mfaransa amekuwa akiishi maisha yake kwa siri sana na mambo yaliyotokea zamani yamesahaulika. Hivyo kuna mambo 20 katika miaka 20 ya kocha huyo kwenye klabu ya Arsenal ambayo huyajui.   Arsene Wenger […]

Kilimanjaro Queens watua Dar

NA MAREGESI NYAMAKA MABINGWA wa Kombe la Chalenji  timu ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Queens’, wametua jana jioni jijini Dar es Salaam, wakitokea Uganda ambako walikwenda kushiriki michuano hiyo. Kikosi cha Kilimanjaro Queens  kilipokelewa katika Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere na kulakiwa na viongozi wa Shirikisho la Soka Tanzania  (TFF), wakiongozwa na Katibu Mkuu, Celestine Mwesigwa. Kabla ya kuwasili, kikosi […]

Tambwe aenda Oktoba mosi na siri nzito

NA HUSSEIN OMAR ZIKIWA zimebaki siku chache kabla ya Yanga kuivaa Simba, straika nyota wa timu hiyo Mrundi, Amissi Tambwe,  amesema amekiona kikosi cha Simba,  lakini ana siri nzito moyoni kuelekea katika pambano hilo litakalopigwa Oktoba mosi mwaka huu kwenye  Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam. Yanga kabla ya kukutana na watani wa jadi Simba watacheza na Stand United […]

TUUNGE MKONO MFUMO WA TIKETI ZA KIELEKTRONIKI

BAADA ya hadithi nyingi, hatimaye mwisho wa wiki hii mashabiki wa soka wataingia Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam, kushuhudia pambano la Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kati ya Simba na Majimaji, kwa kutumia mfumo mpya wa tiketi za elektroniki. Awali majaribio ya matumizi ya mfumo huo yalipangwa kufanyika wakati wa pambano maalumu la kuchangisha fedha kwa ajili […]

Kipingu ajivunia kutoa sita Kilimanjaro Queens

HAPPYGLORY URASSA (DSJ) NA REGINA GEORGE (TUDARCO) MKURUGENZI wa Shule ya Sekondari ya Lord Baden Memorial, iliyopo wilayani Bagamoyo, Pwani, Kanali mstaafu Iddi Kipingu, amejivunia kuwa na wachezaji sita katika kikosi cha timu ya soka ya wanawake Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Queens’, kilichotwaa ubingwa wa Kombe la Chalenji, nchini Uganda mapema wiki hii. Akizungumza na gazeti hili Dar es Salaam jana, […]

Wachezaji 20 kushiriki taekwondo Kenya

NA JACKLINE LAIZER, ARUSHA WACHEZAJI 20 wa Taekwondo wa Shule ya Sekondari ya Edmund Rice, iliyopo mkoani hapa, wanatarajiwa kushiriki michuano ya wazi itakayofanyika kesho jijini Nairobi, nchini Kenya. Michuano hiyo inayojulikana kama ‘Loreto Valley Road Tekwondo Championship and National Cadet & Team Build up’, itashirikisha wachezaji waliochini ya umri wa miaka 13-18. Akizungumza mkoani hapa jana, Mkurugenzi wa Ufundi […]

Majembe mawili Simba kuikosa Majimaji

NA MARTIN MAZUGWA SIMBA wanatarajia kuwakosa wachezaji wawili tegemeo, kiungo  Mwinyi Kazimoto na beki wa kati, Method Mwanjale, katika mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya Majimaji, itakayochezwa kesho kwenye Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam. Mwanjale alipata mchubuko wa nyama katika paja kwenye mechi iliyopita dhidi ya Azam, iliyochezwa Uwanja wa Uhuru na wao kushinda […]

Beki Yanga awataka Ajib, Mavugo Okt. mosi

NA HUSSEIN OMAR BEKI wa Yanga, Pato Ngonyani,  amewaangalia washambuliaji wa Simba, Ibrahim Ajib na Laudit Mavugo na kujiridhisha ataweza kuwazuia katika mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara itakayochezwa Oktoba mosi, mwaka huu, kwenye Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam. Ngonyani, ambaye  hapati nafasi ya kucheza mara kwa mara katika kikosi cha kwanza cha kocha mkuu wa […]

Winga machachari Simba  amtibua nyongo Omog

NA ONESMO KAPINGA WAKATI  joto la pambano la watani wa jadi, Simba na Yanga likizidi kupanda, winga machachari wa Simba, Jamal Mnyate, ametibua nyongo ya kocha mkuu wa timu hiyo, Joseph Omog, kutokana na kushindwa kuelewa maelekezo  yake katika mazoezi yaliyofanyika juzi kwenye Uwanja wa Boko Veterani,  jijini Dar es Salaam. Simba walifanya mazoezi hayo kujiandaa na mchezo wa Ligi […]