Bokungu afuta jina la Kessy Msimbazi

NA ZAITUNI KIBWANA BEKI Janvier Bokungu, anayecheza namba mbili katika kikosi cha Simba, amefuta rasmi jina la Hassan Ramadhani ‘Kessy’ kwenye vichwa vya mashabiki wa Wekundu wa Msimbazi hao. Kessy alikuwa ni mchezaji tegemeo mno katika kikosi cha Simba, akionekana kuziba vilivyo pengo la watangulizi wake kama Shomari Kapombe, Miraji Adam na Nassoro Chollo. Baada ya Kessy kutimkia Yanga, akifanya […]

UPENDO KUSHINDA UFAHAMU

Jumbe alizojibiwa ni chache kuliko zile alizotuma. Hakika alihisi moto unawaka kupita kiasi katika maumivu yake ya mapenzi. Hali hiyo ilichangia kutokula chakula na kutofanya kazi yoyote siku ya tatu mara baada ya Roika kuelekea Mexico. SASA ENDELEA Alianza kumtafuta Roika kwenye simu akitaka kuongea naye, maana ilikuwa ni siku ya tatu Roika hakuwa amemjibu kuwa atarudi lini, licha ya […]

Ni wewe unayejenga furaha ama huzuni katika uhusiano

INGAWA kiasili kila binadamu anahitaji furaha na amani, ila kuna wengine huchagua maumivu na majuto wenyewe. Si kwa kutaka, ila ni kupitia katika maamuzi yao. Chochote unachoamua leo ndicho kinachoamua furaha  au huzuni yako katika mahusiano yako ya kesho. Sasa kuwa makini! Kipi kikubwa unachohitaji katika uhusiano wako? Kuwa na mtu ambaye kila unapopita unasifiwa kuwa naye au kuwa na […]

Irene Uwoya amkumbuka mzazi mwenzake

NA ESTHER GEORGE, MALKIA wa filamu za Tanzania, Irene Uwoya, amesema kutokuwa karibu kimapenzi na baba wa mtoto wake, Krish Hamad Ndikumana, haiwezi kusababisha ugomvi mkubwa utakaopelekea asimtakie heri ya siku yake ya kuzaliwa. Uwoya ameyasema hayo jana, mara baada ya siku za hivi karibuni kupitia ukurasa wake wa Instagram, kutupia picha ya Ndikumana na kuandika maneno ya kumtakia heri […]

Maswali haya yametujibu kinachomsumbua Rooney

MANCHESTER United KILA nabii ana zama zake, ni msemo unaoendelea kuakisi maisha yetu ya kila siku. Ni sahihi kuutumia msemo huu kwa nyota Wayne Rooney? Baki na jibu lako. Hivi sasa, mambo si shwari kwa straika na nahodha huyo wa Manchester United, ni wazi anatembea na rundo la mawazo kichwani mwake. Anajua kabisa kuwa hayupo kwenye ubora wake na kama […]