Tambwe airudia Kagera Sugar leo

NA MARTIN MAZUGWA, MSHAMBULIAJI wa kutegemewa wa Yanga, Amis Tambwe, yuko fiti kuikabili Kagera Sugar leo katika mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaopigwa kwenye Uwanja wa Kaitaba, Bukoba. Tambwe alikuwa nje ya dimba kwa takribani wiki mbili akiuguza jeraha kichwani baada ya kuumia wakati akiichezea Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mtibwa Sugar uliomalizika kwa kikosi chake […]

Nahodha Kagera aionya Yanga

NA MARTIN MAZUGWA, NAHODHA wa Kagera Sugar, George Kavila, ameionya Yanga kuwa isitarajie kupata ushindi leo wakati timu hizo zitakapoumana kwenye Uwanja wa Kaitaba, Bukoba. Mkongwe huyo ameliambia BINGWA  kuwa kikosi chao kimefanya maandalizi  ya kina kuelekea mchezo huo kwa lengo la kuhakikisha kinavuna pointi tatu. “Naamini utakuwa mchezo mgumu zaidi kwetu maana tunacheza na moja kati ya timu bora […]

Mayanga njiani kumrithi Julio Mwadui

NA SAADA SALIM, KUNA uwezekano mkubwa kocha Salum Mayanga akatua katika kikosi cha Mwadui FC ili kuchukua mikoba ya Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ aliyejiuzulu. Julio alijiuzulu kuifundisha Mwadui  kutokana na kile alichodai kuwa kuchoshwa na uchezeshaji wa hovyo wa waamuzi katika Ligi Kuu Bara. Habari za uhakika zilizolifikia BINGWA zinadai uongozi wa Mwadui tayari umekutana na Mayanga hivi karibuni mkoani Shinyanga. […]

Omog ataja siri yake na Jjuuko Murshid

NA SAADA SALIM, KOCHA wa Simba, Joseph Omog, amevunja ukimya na kutaja kile kilichokuwa kinamfanya asimtumie mara kwa mara beki wake wa kati, Jjuuko Murshid. Tangu kuanza kwa msimu huu Murshid amekuwa hapewi nafasi ya kutosha katika kikosi cha Simba, kwani kocha wa timu hiyo, Omog amekuwa akimpendelea zaidi beki Novaty Lufunga. Hatua ya Omog imekuwa ikipingwa na baadhi ya […]

Chirwa ampoteza vibaya Mavugo

NA ZAITUNI KIBWANA, STRAIKA wa Yanga, Obrey Chirwa, amempoteza vibaya, Laudit Mavugo, baada ya kucheza mechi chache na kuweza kumkimbiza straika huyo wa Burundi. Chirwa alianza kutoa ‘gundu’ kwa kufunga bao lake la kwanza tangu atue kuichezea timu hiyo kwenye ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Mtibwa. Mzambia huyo aliyetua kuichezea Yanga kwa dau la Sh milioni 200, amecheza mechi […]

Saa 48 hatari kwa Pluijm Yanga

NA WAANDISHI WETU, WAKATI Yanga wakicheza leo dhidi ya Kagera Sugar, kocha mkuu wa kikosi hicho, Hans van der Pluijm, kiroho kinamdunda kwani anaweza akatumbuliwa ndani ya saa 48 kuanzia sasa. Unajua ikoje! Tayari kuna mipango ya chini kwa chini ya kumleta kocha mpya kutoka Zesco ya Zambia, George Lwandamina, ambapo ni kama Pluijm anatafutiwa sababu apigwe chini. Wanachama wa […]