Unajua sababu za Guardiola kuwakatia wachezaji wake ‘intaneti’?

MANCHESTER, England UAMUZI wa Pep Guardiola kukata mtandao wa intaneti (Wi-Fi) ndani ya uwanja wa mazoezi wa klabu yake ya Manchester City unaelezewa kuwa ni kutokana na mmoja wa wachezaji wake kukutwa na simu wakati wa mazoezi. Guardiola aliamua kuchukua uamuzi huo akiwa na matumaini ya kuwaona wachezaji wake wakiwa na ushirikiano pindi wanapokaa pamoja kwenye akademi ya klabu hiyo […]

Kally Ongala na mikakati ya kuiokoa Majimaji

NA ESTHER GEORGE “MNYONGE mnyongeni lakini haki yake mpeni” ni usemi rahisi ambao wazee wetu waliutumia pale walipoona kuna mtu anadhulumiwa haki yake isivyostahili. Hivi karibuni upepo mbaya ulivuma kwenye klabu ya Majimaji ya Songea na  kusababisha kuyumba na kuanza kupoteza mwelekeo kwenye Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara msimu huu. Hali hiyo ambayo ilitokana na figisu figisu za hapa […]

Ukata wakwamisha timu kushiriki ‘Nyerere Cup’

NA WINFRIDA NGONYANI UGANDA, Kenya na Rwanda zimeshindwa kujitokeza kushiriki michuano ya wavu ya ‘Nyeyere Cup’,  inayoendelea kwenye Uwanja wa Hindu Mandal mjini Moshi, mkoani Kilimanjaro, kutokana na kukabiliwa na ukata. Michuano hiyo ya wazi ilianza jana na kutarajiwa kushirikisha zaidi ya timu 17,  lakini kutokana na hali hiyo, ni sita tu ndizo zimejitokeza kushiriki. Akizungumza na BINGWA kutoka Moshi, […]

Shime, Matola watajwa kumrithi Julio

NA WINFRIDA MTOI KLABU ya Mwadui imeanza kuwawania makocha watatu,  Seleman Matola, Bakar Shime na Salum Mayanga, kwa ajili ya kuifundisha timu yao inayoshiriki Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, baada ya Jamhuri Kihwelu ‘Julio’ kuachia ngazi. Julio alifanikiwa kuipandisha timu hiyo daraja msimu uliopita na hivi karibuni alitangaza kuachia ngazi kwa madai ya kuchoshwa na uamuzi mbovu wa waamuzi. […]

Azam kama Yanga Shinyanga

NA REBBECA LUZUNYA, MWANZA STAND United ya mjini Shinyanga, jana iliendeleza rekodi yake ya kuzifunga timu vigogo baada ya kuwalaza mabingwa wa Afrika Mashariki na Ngao ya Jamii, Azam FC kwa bao 1-0 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania uliopigwa kwenye Uwanja wa CCM Kambarage mjini Shinyanga. Stand ambayo iliwafunga mabingwa watetezi wa ligi hiyo Yanga kwa bao […]

YANGA SUPER

NA EZEKIELI TENDWA MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga jana walionekana kurejesha makali yao baada ya kuiadhibu Mtibwa Sugar mabao 3-1 katika mchezo uliopigwa kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Yanga iliyosuasua katika mechi mbili zilizopita baada ya kufungwa na Stand United na kutoka sare na mahasimu wao jadi, Simba walianza mchezo huo  kwa kasi ambapo […]

Umesikia Guardiola alivyopondwa?

LONDON, England UNAMKUMBUKA yule kocha wa zamani wa timu ya Taifa ya Brazil, Vanderlei Luxemburgo? Juzi aliibuka na kumponda Pep Guardiola akidai kuwa Mhispania huyo anafaa zaidi kwenye masuala ya biashara na si ufundishaji soka. Luxemburgo anaamini kuwa Guardiola hastahili sifa anazopewa na kwa upande wake Carlo ndiye kocha bora ulimwenguni. “Alijizolea umaarufu mkubwa akiwa Barcelona, lakini pia Luis Enrique […]