Simeone anaposhindwa kuelewa atakapokuwa miaka 10 ijayo

MADRID, Hispania JAPO inashangaza lakini bado kuna watu ambao wanafuatilia kwa ukaribu maisha ya Diego Simione akiwa kama kocha wa Atletico Madrid, ingawa Muargentina huyo naye hajui atakuwa wapi baadaye ndani ya miaka 10 ijayo. Kocha huyo mwenye hulka ya ucheshi, alisikika akisema hayo kwenye tangazo la kampuni ya magari ya Hyundai akiwa sambamba na mchekeshaji Joaquin Reyes aliyeigiza kama […]

Man United imeridhishwa na Herrera kwenye safu ya kiungo?

MANCHESTER, England NI baada ya presha aliyoipata katika michezo kadhaa ya Ligi Kuu England na michuano mingine, sasa kocha wa Manchester United, Jose Mourinho ameanza kuelewa thamani ya kiungo Mhispania ​​​​​​​Ander Herrera ndani ya kikosi cha kwanza cha klabu hiyo kongwe ya Jiji la Manchester. Tangu alipopewa nafasi ya kuonesha alichonacho kwenye safu ya kiungo ambayo ilionekana kupwaya kila kukicha, […]