Umber Lulu akolea kwa Young Dee, ajichora tattoo

ZAITUNI KIBWANA, VIDEO Queen, Lulu Mkongwa ‘Amber Lulu’ ambaye anamuiga mwanamitindo, Amber Rose, amekolea kwa rapa, David Ganzi ‘Young Dee’, baada ya kuamua kujichora tattoo mkononi mwake. Amber Lulu ambaye anabamba kwa figa yake inayowatoa udenda wanaume, inadaiwa anatoka na rapa huyo ambaye anatamba na wimbo wa Kiswahili ‘Matangazo’. Kwenye ukurasa wake wa Instagram, Amber Lulu, aliweka picha inayomwonyesha amechora […]

Man Fongo, Snura wachengua Tigo Fiesta Moro

NA EMILIANA CHARLES (TUDARCO) TAMASHA la Tigo Fiesta lililofanyika juzi katika Uwanja wa Jamhuri, mjini Morogoro, lilikonga vilivyo nyoyo za mashabiki wa muziki, baada ya shoo ya nguvu iliyofanywa na wasanii waliopanda jukwaani, wakiwamo Man Fongo na Snura Mushi. Wasanii lukuki waliopanda jukwaani kutumbuiza, walilitendea haki jukwaa, lakini Man Fongo na Snura waliwafanya mashabiki walipuke kwa kelele kutokana na aina ya […]

Riyama hataki mwanawe apige dili

NA ESTHER GEORGE, MKALI wa filamu Bongo, Riyama Ally, amesema hataki mtoto wake wakike atumike kwenye matangazo ya kibiashara ya kampuni mbalimbali kwani anapenda ajikite zaidi kwenye masomo na hapo baadaye achague anachokipenda. Riyama ameliambia Papaso la Burudani kuwa umaarufu alionao haumhusu mtoto wake kwani inatakiwa akue kwenye maadili ya dini na asome sana halafu hapo baadaye atachagua mwenyewe upande […]

Madee amtolea povu Pogba

NA GRAY PAUL (TUDARCO) RAPA kutoka Tip Top Connection, Hamad Ally ‘Madee’, jana aliwashangaza mashabiki zake mara baada ya kutoa maneno yaliyozua mjadala kuhusu mchezaji wa Manchester United, Paul Pogba. Madee alitoa maneno hayo baada ya Manchester United kupoteza mchezo wa tatu mfululizo na kiungo huyo ghali aliyevunja rekodi ya usajili wa pauni milioni 89 akitokea Juventus na kuandika maneno […]

Rodriguez: Namuiga Zidane

MADRID, Hispania NYOTA wa Real Madrid, James Rodriguez, amemmiminia sifa kocha wake, Zinedine Zidane, akisema ndiye kiigizo chake. Mshambuliaji huyo aliyasema hayo baada ya kurudi katika kikosi cha kwanza na kufanikiwa kuipa Madrid ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Espanyol. Rodriguez ndiye aliyeanza kuziona nyavu za Espanyol katika kipindi cha kwanza, huku bao la pili likifungwa na Mfaransa, Karim Benzema.

Guardiola aanza ‘kujishaua’

MANCHESTER, England   ETI kocha wa Manchester City, Pep Guardiola, amekasirika kwa kuambiwa timu yake itachukua mataji mengi msimu huu. Man City wanaongoza ligi wakiwa na jumla ya mabao 25 na hivi karibuni waliichapa Borussia Monchengladbach mabao 4-0 katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya. Guardiola amekataa sifa hizo na kusema kuwa lengo lake kwa sasa ni kuhakikisha mashabiki wa Man […]

Kumbe kipigo kilimpagawisha Pogba!

MANCHESTER, England UNAMKUMBUKA Dirk Kuyt? Ni yule staa wa zamani wa Liverpool ambaye hivi sasa anakipiga Feyenoord? Ameibuka na kusema kuwa Paul Pogba aliwakaripia wachezaji wenzake wa Manchester United, wakati wa mchezo wa wiki iliyopita. Licha ya kusajiliwa kwa dau lililovunja rekodi ya usajili, Pogba hakufurukuta kwa dakika zote 90 huku Man United ikilala kwa bao 1-0. “Nilichokuwa nakisikia kipindi […]

Wenger achimba mkwara mzito

LONDON, England KOCHA wa Arsenal, Arsene Wenger, amesema kitendo cha timu yake kuibuka na ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Hull City ni ujumbe tosha kwa wapinzani wake. Kocha huyo amesema matokeo waliyoyapata yanaonesha wazi kuwa timu yake imeiva kupambana kwenye mbio za kufukuzia ubingwa. “Ni ushindi wenye ujumbe,” alisema alipokuwa akihojiwa na mtandao wa Telegraph. Mpaka sasa Arsenal wameshinda […]

Madrid haikamatiki La Liga

MADRID, Hispania BAADA ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 katika mchezo wa La Liga dhidi ya Espanyol, Real Madrid wameweka rekodi ya kuwa timu iliyoshinda michezo mingi mfululizo. Ushindi huo ni wa 16 mfululizo kwa kikosi hicho kinachonolewa na Mfaransa, Zinedine Zidane ‘Zizou’. Awali, rekodi hiyo ilikuwa ikishikiliwa na Barcelona ambayo iliiweka katika msimu wa 2010/11. Katika siku 200 […]