JKT Queens inayo kazi kwa maadui watano Ligi Kuu ya Wanawake SWPL

NA ONESMO KAPINGA MZEE WA KUPASUA, kapssmo@gmail.com 0716985381 UTAMU wa Ligi Kuu ya Soka ya Wanawake Tanzania Bara (SWPL)  inayodhaminiwa na Serengeti Lite, unaanza kunoga kutokana na timu zinazoshiriki ligi hiyo kuonyesha ushindani mkali. Timu 12 zimeonekana kujiandaa kwa  kucheza soka ya ushindani hasa kwa timu ya JKT Queens iliyoanza ligi hiyo kwa ushindi wa mabao 9-0 dhidi ya Evergreen […]

MASTAA SIMBA WALIOCHEZA FAINALI KOMBE LA CAF 1993 (7)

NA HENRY PAUL WIKI iliyopita BINGWA Jumatatu lilikukumbusha baadhi ya wachezaji wa Simba waliocheza fainali ya Kombe la CAF na kutolewa na timu ya Stella Abidjan ya Ivory Coast, kwa kufungwa mabao 2-0 mchezo uliochezwa Novemba 29, 1993, kwenye Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam (sasa Uwanja wa Uhuru). Wafuatao ni mwendelezo wa baadhi ya wachezaji hao ambao baada […]

Solskjaer ajipa matumaini Sanchez kuivaa Spurs

LONDON, England KOCHA wa muda wa Manchester United, Ole Gunnar Solskjaer, amesema kwamba ana matumaini straika wake,  Alexis Sanchez, atakuwa amepona majeraha yake ya misuli ya nyama za paja wakati wa mchezo wao dhidi ya  Tottenham katika michuano ya Ligi Kuu England. Juzi Man United walifikisha mechi yao ya tano wakishinda mfululizo chini ya  Solskjaer na mabao yaliyofungwa na mastaa […]

Mechi 19 zilizoipa jeuri Yanga kabla ya kufungwa na Azam

NA MWANDISHI WETU VINARA wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga, juzi walipoteza mchezo wa kwanza wa ushindani baada ya kufungwa na Azam FC mabao 3-0. Klabu hiyo ya Jangwani ambayo haijapoteza mchezo hata mmoja kwa upande wa Ligi Kuu, ilikuwa haijafungwa katika michuano yoyote ikiwamo Kombe la Shirikisho Tanzania ‘Azam Sports Federation Cup’ (ASFC). Lakini juzi kwenye michuano ya Kombe […]

NYOTA WALIOWAHI KUCHEZEA YANGA NA SIMBA (4)

NA HENRY PAUL WIKI iliyopita BINGWA Jumatatu lilikukumbusha baadhi ya wachezaji wa zamani waliowahi kuchezea timu mbili kongwe hapa nchini, Simba na Yanga katika Ligi Daraja la Kwanza Tanzania Bara (sasa Ligi Kuu) pamoja na wengine hata kuchezea timu ya taifa, Taifa Stars. Ufuatao ni mwendelezo wa baadhi ya wachezaji hao ambao wanakumbukwa hadi leo hii na wapenzi wa soka […]

Gurdiola alijaribu kwa mastaa hawa akachemka

LONDON, England  MWAKA 2008 bilionea wa Kiarabu,  Sheikh Mansour, aliinunua klabu ya  Manchester City kwa kiasi kinachotajwa kuwa ni pauni milioni 210. Bilionea huyo ni mmoja kati ya watu matajiri duniani ambaye yeye binafsi anakadiriwa kumiliki mali zenye thamani ya pauni bilioni 17. Kufuatia ujio wa kibopa huyo, mambo yalianza kuwa mazuri kwa mashabiki wa Man City kwani timu yao […]

Kwa Klopp na Guardiola, Waingereza wana maswali ya kutujibu

NA KELVIN LYAMUYA GORDON Milne, huyu alikuwa ni kiungo wa zamani wa Liverpool. Alivyostaafu soka akahamia ukocha na kuzinoa timu tofauti duniani kuanzia mwaka 1970. Mafanikio yake makubwa kama kocha ni kuipa Besiktas mataji matatu ya Ligi Kuu Uturuki, upande wa pili wa shilingi alishindwa kuivusha timu yake hatua ya mtoano Ligi ya Mabingwa mwaka 1998. Kuna Bobby Robson, huyu […]

Sababu zatajwa timu Zenji kuboronga kimataifa

SAADA SALIM-ZANZIBAR KOCHA mkuu wa KMKM ya Unguja, Ame Msimu, ametoa sababu tatu za timu za Zanzibar kutofanya vizuri katika michuano ya kimataifa, ikiwemo Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho Afrika. Zanzibar iliwakilishwa na JKU ambao ni mabingwa wa Ligi Kuu Zanzibar lakini waliondolewa katika hatua za awali na Al Hilal ya Sudan, huku Kaizer Chiefs ya Afrika […]

Wabunge, madiwani CCM wapigwa ‘stop’ kuandaa michuano

NA DERICK MILTON, BARIADI KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Bashiru Ali, amepiga marufuku wabunge na madiwani wa chama hicho kuandaa michuano na kuiita majina yao. Dk. Bashiru alitangaza zuio hilo jana wakati akizungumza na viongozi mbalimbali wa Serikali, chama na wananchi katika mkutano uliofanyika Shule ya Msingi Alliance, Bariadi. Alisema kiongozi yeyote wa chama hicho anayetaka kuandaa […]