Timu za Kanda ya Ziwa zaanza vibaya Taifa Cup

Derrick Milton Timu kutoka mikoa ya Kanda ya Ziwa, Simiyu, Mwanza, Mara na Shinyanga zinazoshiriki mashindano ya Mpira wa kikapu kitaifa (Taifa Cup) yanayoendelea mkoani Simiyu zimeanza vibaya katika michezo yake ya kwanza. Kwenye michezo yote minne, timu kutoka kanda ya ziwa zimeonekana kuelemewa katika michezo yake, huku zikizidiwa mbinu za kimchezo, nguvu kwa wachezaji wake pamoja na kushindwa kwenda […]

Boban atuma ujumbe mzito Yanga

NA HUSSEIN OMAR KIUNGO mpya wa Yanga, Haruna Moshi ‘Boban’, amewaambia mashabiki wa timu hiyo kutokuwa na shaka naye badala yake, wamwombee ili aweze kuwapa kile wanachokitarajia kutoka kwake. Boban ametua Yanga katika kipindi cha usajili wa dirisha dogo akitokea African Lyon ambapo usajili wake umewagawa mashabiki wa soka nchini wakidai kuwa kiungo huyo hana jipya kwa madai ni mkongwe. […]

Diamond, Vanessa, Navykenzo wachomoza tuzo za SoundCity MVP Nigeria

NA JESSCA NANGAWE MASTAA wa Bongo Fleva hapa nchini, Naseeb Abdul ‘Diamond’, Vanessa Mdee ‘Vmoney’ pamoja na Navykenzo, wametajwa kuwania tuzo za Soundy City zitakazofanyika Januari 5, mwakani sambamba na mastaa mbalimbali barani Afrika. Mastaa wengine waliotajwa kuwania tuzo hizo ni pamoja na Rajab Abdul maarufu kama Harmonize, Maromboso pamoja na Maua Sama. Tuzo hizo zimepangwa kufanyika katika ukumbi wa […]

Mourinho: Sijashangazwa na kichapo

VALENCIA, Hispania JOSE Mourinho amesema hakuna kilichomshangaza baada ya Manchester United kuchezea kichapo cha mabao 2-1 kutoka kwa Valencia katika mchezo wa juzi wa Ligi ya Mabingwa Ulaya. Kipigo hicho hakikuizuia timu yake kwenda 16 bora, lakini kiliinyima nafasi ya kumaliza hatua ya makundi ikiwa kileleni mwa kundi, jambo ambalo Mourinho haoni kama linapaswa kumuumiza kichwa. Ni kama Mourinho alijitakia […]

Ronaldo achimba mkwara Uefa

TURIN, Italia NI kweli juzi walichapwa mabao 2-1 na Young Boys, lakini Juventus wameshafuzu 16 bora ya Ligi ya Mabingwa Ulaya na kwa mujibu wa staa wao, Cristiano Ronaldo, hiyo ndiyo hatua ya ‘kuuana’. “Sasa hapa ndipo ulipo utamu wa Ligi ya Mabingwa, nina imani tutakuwa tayari kwa hilo,” alisema nyota huyo mwenye umri wa miaka 33 na kuongeza. Hoarau […]

Mastaa Man Utd wakipigwa bei Januari mbona poa tu

LONDON, England KWA sasa timu ya Manchester United inashika nafasi ya pili kwenye msimamo wa Ligi Kuu England na wapo nyuma kwa pointi 16 dhidi ya timu zinazoshika nafasi ya juu. Hali katika klabu hiyo ilianza kubadilika baada ya aliyekuwa kocha wao wa muda mrefu, Sir Alex Ferguson, kuondoka mwishoni mwa msimu wa 2012/13 na huku warithi wake, David Moyes, […]

Klopp: Hao Man United wajipange

MERSEYSIDE, England USHINDI wa bao 1-0 dhidi ya Napoli walioupata Liverpool, umeamsha hari kwa wachezaji hao wanaonolewa na Mjerumani, Jurgen Klopp. Klopp anaamini hakuna timu ya kuwazuia sasa huku akiwapa tahadhari kubwa Manchester United ambao watakipiga Jumapili kwenye Uwanja wa Anfield. “Tupo kwenye wakati mzuri, kila mmoja ndani ya timu anafanya kazi kwa moyo ili tufikie malengo yetu ya kutwaa […]