NI WENGER, CONTE AU POCHETTINO KUMRITHI ZIDANE?

MADRID, Hispania


BAADA ya miaka miwili na nusu ya kukalia kiti cha moto Santiago Bernabeu, kushinda mataji matatu ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, Zinedine Zidane ameamua kukubaliana na nafsi yake kwamba anatakiwa kupumzika.

Zidane ambaye msimu huu uliomalizika hivi karibuni alikosa taji la La Liga, alitangaza kung’atuka Madrid mapema wiki hii, akisema timu hiyo inahitaji mawazo na njia mpya ya kusaka mafanikio.

Ni kweli Madrid inahitaji namna nyingine tofauti na ya kwake, akimaanisha inabidi aje kocha mwingine. Ni nani huyo kati ya hawa mwenye uwezo wa kurithi kiti anachokiacha Bernabeu.

Kwa habari zaidi pata nakala yako ya gazeti la BINGWA hapo juu


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*
*