googleAds

Mzungu Azam achomoa kifaa Mbao

NA MAREGES NYAMAKA

KOCHA Mkuu wa Azam,Aristica amekoshwa na uwezo unaonyeshwa na straika wa Mbao, Wazir Jr akidai akiendelea na kiwango hicho kuna asilimia kubwa ya kumvuta kikosini kwake.

Mromania huyo mwishoni mwa wiki hii anatarajia kukiongoza kikosi chake hicho kuvaana Waranda Mbao hao ukiwa ni mwendelezo wa mechi za Ligi Kuu Tanzania Bara ukiwa ni mchezo wake wa nne tangu arejee kwa matajiri hao wa Bongo.

Mbali na mchezo na mchezo huo aligusia suala la maboresho katika kikosi chake kufanya usajili wa dirisha dogo unaotarajiwa kufunguliwa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF)


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*
*