Mrithi wa Ramsey huyu hapa

LONDON, England

KLABU ya Arsenal imetuma ofa kwa Napoli ya kitita cha pauni milioni 17 ili kumnasa kiungo wa timu hiyo, Jordan Veretout.

Kwa mujibu wa ripoti iliyoripotiwa na gazeti la L’Equipe, Veretout anatajwa kuwa mrithi wa Aaron Ramsey.

Arsenal wanasaka kiungo ambaye ataendana na Ramsey aliyekwenda Juventus, ambaye walidumu naye tangu mwaka 2008.


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*
*