googleAds

Mourinho ahisi kutimuliwa Trafford

 Manchester, England


Meneja wa Manchester United, Jose Mourinho, ana wasiwasi kuhusu hatma yake ya kusalia Old Trafford, kutokana na anachokiamini kuwa maofisa wa klabu hiyo wamewasiliana na meneja wa zamani wa Real Madrid, Zinedine Zidane.

Kutokana na sintofahamu kuhusu hatma ya Mourinho huko United wachezaji 12 hawana uhakika kuhusu hatma yao endapo Mourinho ataondoka wakati wanaingia mwaka wa mwisho wa mikataba yao.


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*
*