googleAds

Kifo chake kilitabiriwa?

Mwandishi Wetu

WAKATI huu dunia ikiomboleza kifo cha nguli huyo, tayari upo ujumbe unaosambaa mitandaoni, ambao ulipostiwa kwenye akaunti ya twitter tangu mwaka 2012.

Kipindi hicho, mtumiaji wa akaunti hiyo aliyejitambulisha kwa jina la Noso alindika: “Kobe atakufa kwa ajali ya helikopta.”

Hata hivyo, wengi kati ya watumiaji wa mitandao ya kijamii hawaonekana kuvutiwa na kitendo cha kurejea kwa ujumbe huo, wakisema huu si wakati mwafaka.


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*
*