DORTMUND KUWAPA MAN CITY AUBAMEYANG?

MANCHESTER, England

MANCHESTER City wanasubiri jibu la Borussia Dortmund kwani wanataka kuwapa Kelechi Iheanacho ili wamwachie Pierre-Emerick Aubameyang.

Man City wamekuwa wakimfukuzia Aubameyang na wanaona njia nyepesi ni kumpeleka Iheanacho pale Dortmund.


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*
*