googleAds

City: Guardiola baki tukupe mshahara bil 290/=

MANCHESTER, England

ENDAPO atakubali kubaki, mabosi wa Manchester City wamesema watampa Pep Guardiola mshahara wa pauni milioni 100 (zaidi ya Sh bil 290 za Tanzania) kwa mwaka.

Man City wanajaribu kumshawishi Mhispania huyo asiondoke, wakiwa wamepanga kumpa mkataba wa miaka mitano.

Wakati huo huo, tayari Guardiola (48), alishathibitisha kuwa na mpango wa kuendelea kuinoa timu hiyo aliposema: “Nitabaki hapa kwa misimu mingine miwili.”


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*
*