Category: weekend Sport

WABAYA WA AZAM ‘TOP THREE’ VPL

  NA CLARA ALPHONCE WAKATI Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) ikiwa imefikia raundi ya sita, bado wapenzi wa soka nchini hawajapata picha halisi ya timu zinazoweza kuchuana katika nafasi tatu za juu kutokana na ushindani uliopo. Hilo linatokana na ukweli kuwa kuna timu ambazo msimu uliopita zilikuwa juu, lakini kwa safari hii zinaonekana kupoteza mwelekeo. Miongoni mwa timu […]

NIYONZIMA ATAENDELEZA KISMATI CHAKE SIMBA?

  NA ZAINAB IDDY KIUNGO wa Rwanda, Haruna Niyonzima, ni mmoja wa wachezaji wenye bahati kubwa ya kunyakua mataji mengi kwenye timu wanazozichezea. Ambapo mpaka sasa kwenye maisha yake ya soka amekwishanyakua jumla ya mataji 20. Nyota huyo aliyezaliwa eneo la Gisenyi nchini Rwanda, alianza soka lake kwenye timu ya Etincelles, kisha Rayon Sports, APR kisha kutua Yanga na sasa […]

BARCA WAMWACHIA KIBARUA NEYMAR

BARCELONA, Hispania UNAWEZA kusema uongozi wa klabu ya Barcelona umeamua kumwachia kibarua cha kutoa msimamo wake nyota wao, Neymar, baada ya rais wa vinara hao wa soka Hispania, Josep Maria Bartomeu, kusema kuwa jukumu hilo kwa sasa analo Mbrazil huyo. Hadi sasa kuna tetesi zinazomhusisha nyota huyo mwenye umri wa miaka 25 kuondoka ghafla ili akajiunge na klabu ya Paris […]

BILA MIUNDOMBINU KIKAPU KUWA KAMA NBA ITAKUWA NDOTO

NA SHARIFA MMASI MIUNDOMBINU ni kitu pekee chenye kuleta mabadiliko ya kimaendeleo kwenye sekta mbalimbali nchini na dunia nzima. Kufanikiwa kwa mchezo wowote duniani, kunasababishwa na uwepo wa juhudi za dhati katika uwekezaji wa miundombinu ikiwamo viwanja vya michezo itakayosaidia kukuza na kuendeleza vipaji vya wachezaji. Tanzania bado tupo nyuma katika suala la viwanja hususani vya mpira wa kikapu, jambo […]

SHETTA ATOBOA SIRI YA ALHAMISI

NA CHRISTOPHER MSEKENA STAA wa muziki wa Bongo Fleva, Nurdin Bilal ‘Shetta’, amesema toka aanze kufanya muziki amekuwa akiachia nyimbo zake siku ya Alhamisi, kwa kuwa ina bahati kwake.   Shetta, ambaye Alhamisi iliyopita aliachia wimbo mpya unaoitwa Wale Wale, alisema amekuwa akiushauri uongozi wake kupanga mipango yake ya kimuziki siku kama hizo.   “Huwa nakuwa na bahati zaidi siku […]

IRENE UWOYA AMKWEPA DOGO JANJA

Na BRIGHITER MASAKI TETESI za kutoka kimapenzi na msanii wa Bongo Fleva, Abdulaziz Chande ‘Dogo Janja’, zimemfikia Irene Uwoya, ambapo amesema hawana uhusano wa mapenzi japokuwa ni marafiki wakubwa.   Uwoya ameliambia BINGWA kuwa, uzushi kama huo ameshazoea kuusikia, hivyo haumuumizi kichwa na ukweli utabaki pale pale wa yeye na Dogo Janja kuwa marafiki na kuheshimiana.   “Ombi langu kwa […]

PIENAAR KULIPWAMIL. 850/- ‘SAUZI’

CAPETOWN, Afrika Kusini   NYOTA mpya wa klabu ya Bidvest Wits ya Afrika Kusini, Steven Pienaar, ameingia kwenye orodha ya wanasoka wanaopokea mshahara mkubwa nchini humo.   Hivi karibuni nahodha huyo wa zamani wa Bafana Bafana, alimaliza mkataba wake na Sunderland ya Ligi Kuu England.   Baada ya kutesa Ulaya kwa miaka 16 akiwa na klabu za Ajax, Borussia Dortmund, […]

RONALDO APANGA KUZAA WATOTO SABA

  MADRID, HispanIA HUKU hivi karibuni alishafanikiwa kupata watoto mapacha, Eva na  Matthew na mwingine akiwa njiani, straika wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo, ametangaza kuwa angependa kuwa baba wa watoto saba. Staa huyo wa Real Madrid aliyasema hayo juzi katika mahojiano na chombo cha habari nchini Ureno, Vidas akiwa nchini China ambapo pamoja na mambo mengine alielezea mipango hiyo ya […]

RONALDO, ROONEY, SUAREZ NA WENGINE WALIOWEKEWA KAUZIBE KUONDOKA NA KILICHOWATOKEA

TETESI za usajili mara nyingi huwa zinapotokea huwa zinawaachia baadhi ya wachezaji wakiwa wamefadhaika baada ya dili zao kushindwa kukamilika. Na hili huwa linaonekana zaidi pindi mchezaji anapofanya kila liwezekanalo ili aondoke, lakini klabu anayoitumikia ikaamua kumwachia. Msimu huu pia linaonekana kuwakumba mastaa kama vile, Philippe Coutinho, Riyad Mahrez, Naby Keita, Virgil van Dijk, Ivan Perisic na wengine wengi ambao […]

KUMBE UBISHOO WA PICHA ZA MTANDAO NDIO ULIMPONZA TERRY

LONDON, England   NI jambo la kawaida wachezaji wanapokuwa mapumziko baada ya ligi mbalimbali kumalizika, kwenda kula bata katika maeneo ya kifahari na kisha kutupia picha kwenye mitandao ya kijamii wakionesha jinsi wanavyotanua wakiwana na familia zao. Hata hivyo, licha ya kuwa kwao wanaona ni ujiko kuonesha jinsi wanavyokula na kuponda raha, lakini kwa upande mwingine huwa hawafahamu wanaziweka rehani […]