Category: Uncategorized

RIYAMA AFURAHIA KUNOGESHA ‘KAOLEWA’ YA ROSTAM

NA CHRISTOPHER MSEKENA MSANII mahiri wa filamu nchini, Riyama Ally, amesema anafurahi kuona mashabiki wa muziki wamempokea vyema baada ya kuweka vionjo katika wimbo, Kaolewa, kutoka kwa wasanii Roma Mkatoliki na Stamina wanaounda umoja ujulikanao kama Rostam. Akizungumza na Papaso la Burudani hivi karibuni jijini Dar es Salaam, Riyama alisema alipata nafasi ya kuweka kionjo katika wimbo huo unaofanya vizuri […]

SAMATTA, WELBECK VITANI ENGLAND

NA AYOUB HINJO HABARI za straika wa KRC Genk, Mbwana Samatta, kuhitajika na klabu ya Everton ya England, zimezidi kupamba moto baada ya klabu hiyo kumjumuisha Danny Welbeck katika orodha ya washambuliaji wanaowahitaji wakati wa dirisha dogo la usajili la Januari, mwakani. Everton wanahaha kuziba pengo la aliyekuwa mshambuliaji wao, Romelu Lukaku, aliyejiunga na Manchester United kwa dau la pauni […]

WADAU WAUSAPOTI MCHEZO WA NDONDI

PAMOJA na ukweli kuwa soka ndio mchezo unaopendwa zaidi duniani, kwa hapa nchini umeshindwa kuwatendea haki Watanzania kutokana na timu zetu kuboronga katika mashindano ya kimataifa. Tangu timu yetu ya soka ya Taifa, Taifa Stars ilipofuzu fainali za Afrika mwaka 1980, taifa letu halijawahi kufika mbali kwenye anga ya kimataifa zaidi ya kuishia hatua za awali. Hali imekuwa hivyo miaka […]

BODI YA LIGI YATANGAZA VITA KWA WAAMUZI

NA WINFRIDA MTOI BODI ya Ligi Tanzania Bara (TPLB), imeweka wazi kuwa inaendelea kuwafungia waamuzi wanaofanya makosa ya kushindwa kutafsiri sheria 17 za mchezo wa soka hadi watakapokaa sawa. Kauli hiyo imetolewa na Ofisa Mtendaji Mkuu wa bodi hiyo, Boniface Wambura, wakati akitoa taarifa za Kamati ya Uendeshaji na usimamizi wa Ligi, baada ya kupitia matukio ya mechi zote za […]

KOCHA MBEYA CITY ATAKA POINTI KWA AZAM

NA SAADA SALIM Kocha Mkuu wa Mbeya City, Ramadhani Nsanzurwimo, amesema atahakikisha anaondoka na ushindi katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Azam, utakaochezwa keshokutwa katika Uwanja wa Azam Complex, Dar e Salaam. Akizungumza na BINGWA juzi Nsanzurwimo, alisema kikosi chake kipo tayari kwa mapambano licha ya kwamba watakuwa ugenini kuikabili timu inayowasumbua mara kwa mara, watahakikisha wanapata […]

MATUMAINI ALIVYOINGIA KWENYE MUZIKI WA INJILI BAADA YA KUNUSURIKA KIFO

  NA JEREMIA ERNEST MMOJA wa wasanii waliotesa kwenye igizo la Baragumu lililokuwa likichezwa na Kundi la Kaole Sanaa Group ni Tumaini Martin Mwakibibi ‘Matumaini’. Mchekeshaji huyo kwa sasa amezidi kujijengea jina kwenye uimbaji wa nyimbo za injili baada ya kuamua kuokoka. Matuamini aliibuka kwenye tasnia hiyo mwaka 2006, lakini mwaka uliofuata alipata umaarufu zaidi baada ya kushiriki katika igizo […]

KANYE WEST AKANA KUKACHA SWALI

  NEW YORK, MAREKANI RAPA mahiri, Kanye West, ameamua kueleza kinachodaiwa alishindwa kujibu  swali aliloulizwa na mtangazaji wa kituo cha televisheni, Jimmy Kimmel, kuhusu kama anamuunga mkono Rais wa Marekani, Donald Trump. Katika kipindi hicho ambacho kilirushwa mwishoni mwa wiki, mtangazaji huyo alisikika akimshutumu kiongozi huyo  kwa sera zake husa ya kuwabagua wahamiaji waliopo katika mpaka baina ya nchi hiyo […]

WASANII WA KIKE WAJIFUNZE KWA JOKATE

 WIKI iliyopita Rais Dk. John Magufuli, alifanya uteuzi wa viongozi mbalimbali akiwamo mwigizaji, mjasiriamali na mrembo, Jokate Mwegelo. Jokate aliteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, mkoani Pwani, aliyechukua nafasi ya Happyness Senenda. Kwanza, tunapongeza kwa uteuzi uliofanywa na Rais Magufuli kwa Jokate, kwani ameweza kufanya hivyo kutokana na uwezo wa msanii huyo katika tasnia ya urembo. BINGWA tunaamini kwamba, […]

AZAM KUKWEA PIPA LEO, NGOMA NDANI

NA WINFRIDA MTOI MSHAMBULIAJI mpya wa Azam FC, Donald Ngoma, ni mmoja wa wachezaji wa Azam FC waliotarajiwa kuondoka nchini leo alfajiri kwenda nchini Uganda, kujiandaa na msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Akizungumza na BINGWA jana, Meneja wa Azam, Phillip Allando, alisema kikosi hicho kinachonolewa na kocha Hans van der Pluijm, kimeondoka na jumla ya wachezaji 25 na […]