Category: Uncategorized

Dereva aieleza mahakama alivyokuwa akichukua fedha kwa mhasibu kumpelekea Malinzi

Kulwa Mzee, Dar es Salaam Aliyekuwa dereva wa Rais wa zamani wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Jamal Malinzi, Steven John, ameileza mahakama alikuwa anachukua fedha kutoka kwa aliyekuwa mhasibu wa shirikisho hilo, Hellen Ndaro na kumpelekea Malinzi. Aidha, dereva huyo ambaye ni shahidi katika kesi hiyo ya utakatishaji fedha inayomkabili Malinzi na wenzake, baada ya kujitambulisha alishindwa […]

Ruge nenda kaka, mabosi wetu watajifunza kwako

NA JONATHAN TITO UMEWAHI kujiuliza ni bosi gani ofisini kwako akifariki leo ataagwa kama marehemu Ruge Mutahaba. Ruge ambaye alikuwa Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds, alifariki Februari 26, mwaka huu na kuzikwa jana nyumbani kwao Bukoba. Pamoja na Ruge kuwa bosi wa Clouds, lakini tangu ilipotangazwa taarifa ya kufariki kwake watu mbalimbali nje ya wafanyakazi wake wamekuwa wakiomboleza […]

Ukiwaingia vibaya ni lazima utalamba nyasi

LONDON, England UPIGAJI chenga za mahudhi ni moja kati ya vitu ambavyo vinavutia katika soka na kama utaangalia historia nyuma, wachezaji waliofanikiwa katika mchezo huo walikuwa na uwezo huo.  Umahiri huo wa kupiga chenga ndio umekuwa ukiwafanya mastaa hao kuwapita mabeki kirahisi na hivyo kufunga mabao. Katika makala haya tutaangalia wachezaji watano ambao kwa sasa ni tishio kwa kukokota mpira […]

Makambo avalishwa viatu vya Msuva

WINFRIDA MTOI MCHAMBUZI wa soka hapa nchini na mchezaji wa zamani wa Yanga, Ally Mayay, amemfananisha mshambuliaji, Heritier Makambo na kiungo, Simon Msuva, kutokana kuendelea kupanda kwa kiwango chake na kuwa tishio. Makambo aliyetua Yanga kuitumikia kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu, tayari ameifungia timu hiyo mabao 11 katika mechi 18 alizocheza huku akitwaa tuzo ya mchezaji bora wa […]

Diamond aanguka jukwaani, aumia mkono

Bethsheba Wambura, Dar es Salaam  Msanii wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul maarufu Diamond Platnumz, ameanguka jukwaani leo Desemba 9, wakati akitumbuiza jukwaani katika Uwanja wa Nelson Mandela uliopo Sumbawanga mkoani Rukwa katika Tamasha la Wasafi (Wasafi Festival). Kipande cha video kilichosambaa katika mitandao mbalimbali ya kijamii kinamuonesha Diamond akitumbuiza sambamba na msanii mwenzie kutoka Wasafi, Raymond Mwakyusa maarufu Rayvanny, wakiimba […]

Yanga yamtafuta ubaya Mo

*Kwa walichopanga kukifanya, Wekundu wa Msimbazi lazima walie Ligi Kuu Bara NA ZAITUNI KIBWANA ZIKIWA zimebaki siku tatu kabla ya Yanga kuvaana na Biashara United katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara utakaopigwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, Kocha Mkuu wa Wanajangwani hao, Mwinyi Zahera, ametamba kuendeleza ushindi lengo likiwa ni kuzidi kujikita kileleni mwa kipute hicho hadi mwisho. […]

Ushahidi kesi ya kina Malinzi Des 5

NA KULWA MZEE -DAR ES SALAAM MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu itaendelea kusikiliza shahidi wa tisa wa upande wa mashtaka katika kesi inayomkabili aliyekuwa rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi na wenzake wa wanne Desemba 5, mwaka huu Hatua hiyo ilifikiwa jana, wakati kesi hiyo ilipotakiwa kuendelea kusikilizwa kwa ushahidi wa upande wa mashtaka, lakini […]

Hawa ‘wa Diamond’ afanyiwa upasuaji

     Bethsheba Wambura, Dar es Salaam Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Hawa Ramadhan maarufu Hawa Nitarejea, amefanyiwa upasuaji wa moyo katika hospitali moja iliyopo Bangalore nchini India, leo Jumatano Oktoba 24. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Meneja wa msanii Naseeb Abdul maarufu Diamond Platnumz, Hamis Tale maarufu Babu Tale, kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika upasuaji huo […]