Category: Uncategorized

Mtibwa yaizibua masikio Kagera

NA SALMA MPELI BAADA ya kukubali kichapo cha mabao 2-0 katika mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kutoka kwa Mtibwa Sugar, Kocha Msaidizi wa Kagera, Ally Jangalu, amesema wanahitaji kujitathmini upya. Matokeo hayo ni kama yameizibua masikio Kagera Sugar,  waliopoteza  mchezo huo juzi kwenye Uwanja wa Manungu, mkoani Morogoro. Akizungumza na BINGWA jana, Jangalu alisema baada ya kipigo […]

Serengeti Boys, Kilimanjaro Queens zaua

NA ZAITUNI KIBWANA TIMU ya Taifa ya Vijana chini ya miaka 17 ‘Serengeti Boys’, jana ilipata ushindi mwembamba wa mabao 3-2 dhidi ya wenzao Congo Brazzaville, katika mechi ya kwanza ya kuwania kufuzu fainali za Kombe la Afrika kwa vijana iliyochezwa jana kwenye Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam. Matokeo hayo yameiweka Serengeti Boys katika nafasi nzuri ya kufuzu […]