Category: Top 10

KAKA ANA BAO MOJA TU KWENYE KOMBE LA DUNIA

KATIKA miaka ya hivi karibuni, majina ya wachezaji kadhaa wa Kibrazil yameweza kutamba kwenye soka, hasa katika masuala ya usajili. Wachache kati yao ni pamoja na Neymar, aliyetua PSG kwa ada iliyoweka rekodi, sawa na Coutinho, ambaye alisajiliwa na Barcelona kwa uhamisho uliotikisa dunia. Nyota hao wamefuata nyayo za waliowatangulia na mmoja wa wachezaji hao wa zamani wa Brazil ambao […]

MAKOCHA 10 WANAOVUTA MKWANJA MREFU

MOSCOW, Urusi | KIU ya mashabiki wa soka ulimwenguni kote inasubiri kushuhudia fainali za Kombe la Dunia zinazotarajiwa kufanyika nchini Urusi, mwaka huu. Jumla ya mataifa 32 kutoka sehemu mbalimbali duniani yatakuwa yakionyeshana kazi katika ardhi ya Urusi, ambao wameweka historia ya kuandaa michuano hiyo kwa mara ya kwanza. Miongoni mwa watu wanaotarajiwa kuwa na presha kubwa ni makocha wa […]

MAMBO 10 USIYOYAJUA KUHUSU EVERTON

MERSEYSIDE, England KIKOSI cha Everton juzi kilitua nchini Tanzania na jana kilicheza na Gor Mahia ya Kenya walioipata bahati hiyo baada ya kunyakua ubingwa wa michuano ya SportPesa Super Cup. Msafara wa Everton ulikuwa na wachezaji 29 wakiwamo mastaa Wayne Rooney na Yannick Bolasie. Licha ya kuiona mara nyingi kupitia luninga na mitandao, huenda hukuyajua mambo haya 10 kuhusu timu […]

MAMBO 10 USIYOYAJUA KUHUSU HAYATI CHEICK TIOTE

LONDON, England KIFO cha mwanasoka Cheick Tiote kimeendelea kutikisa vichwa vya habari ulimwenguni kote. Tiote aliiaga dunia mwanzoni mwa wiki hii baada ya kuanguka akiwa mazoezini na wachezaji wenzake wa klabu ya Beijing Enterprises ya Ligi Kuu China. Nyota huyo wa kimataifa wa Ivory Coast ambaye alijijengea heshima kubwa kutokana na umahiri wake wa kulikamata eneo la kiungo, amefariki akiwa […]

MAMBO 10 USIYOYAJUA KUHUSU KOCHA MPYA BARCA

CATALUNYA, Hispania HATIMAYE Barcelona wamemaliza kazi ya kumsaka atakayechukua nafasi ya kocha wao, Luis Enrique ambaye ameondoka kwenye benchi la ufundi la timu hiyo. Enrique ameiacha nafasi hiyo mwishoni mwa wiki iliyopita na mchezo wake wa mwisho ulikuwa ni ule aliowachapa Alaves na kuchukua ubingwa wa Copa del Rey. Kibarua chake kimetua mikononi mwa Mhispania mwenzake, Ernesto Valverde ambaye alikuwa […]

MAMBO 10 USIYOYAJUA KUHUSU JOHN TERRY

LONDON, England BEKI na nahodha wa Chelsea, John Terry, amethibitisha kuwa atatangaza hatima yake katika mchezo wa soka baada ya kumalizika kwa mchezo wa fainali ya Kombe la FA dhidi ya Arsenal. Iko wazi kuwa, Terry ataondoka klabuni hapo baada ya kumalizika kwa mkataba wake mwishoni mwa msimu. Mkongwe huyo amekuwa akifukuziwa na klabu kadhaa za England, zikiwamo Bournemouth, West […]

MAMBO 10 USIYOYAJUA KUHUSU SERENA WILLIAMS

LOS ANGELES, Marekani HATA kama si mfuatiliaji wa mchezo wa tenisi, bila shaka jina la mwanadada Serena Williams utakuwa umelisikia mara kadhaa. Chama cha Mchezo wa Tenisi kwa upande wa Wanawake (WTA) kinamtambua kuwa ndiye kinara wa viwango vya ubora duniani kuanzia mwaka 2002 hadi mwaka 2017. Mbali na hayo, pia Mmarekani huyo anafahamika vyema kwa umbo lake zuri, huku […]