Category: Sport Extra

Mbelgiji: Tutatoboa robo fainali

Mbelgiji: Tutatoboa robo fainali KOCHA Mbelgiji wa Simba, Patrick Aussems, ametamba kuwa lazima watafanya makubwa zaidi ya waliyofanya hatua ya makundi, ili kuweza kusonga katika hatua ya nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Ushindi wa bao 2-1 Taifa jana katika mchezo wa mwisho wa hatua ya makundi wa Ligi ya Mabingwa Afrika, uliiwezesha Simba kutinga hatua ya robo fainali. […]

Timu hizi EPL zinamtambua Messi

MADRID, Hispania MWISHONI mwa wiki iliyopita Shirikisho la Soka Ulaya,UEFA lilichezesha droo ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya  hatua ya robo fainali ambapo Manchester United wamepangwa kukutana na Barcelona. Kwa kupangwa na timu hiyo, itakuwa ni nafasi nyingine kwa straika, Lionel Messi, kukutana na timu za Uingereza  ambazo amekuwa akizionea.  Mpaka sasa staa huyo ndiye anayeongoza kwa kuziliza timu […]

KLOPP ATAMBA KUWAANGAMIZA WABABE WA CHELSEA, CITY

WOLVERHAMPTON, England NI ubabe tu, hakuna kingine zaidi ya kusema hivyo baada ya kocha wa Liverpool, Jurgen Klopp, kutamba kuondoka na pointi tatu usiku wa leo dhidi ya wenyeji wao Wolverhampton. Mpaka sasa Liverpool ni timu pekee ambayo haijafungwa mchezo wowote kwenye Ligi Kuu England huku wakitamba kumaliza msimu bila kufungwa. Hata hivyo, Wolverhampton si timu ya kuibeza kabisa kwa […]

MENO YAMZUIA GRIEZMANN KUFANYA MAZOEZI

MADRID, Hispania JUZI mpachikaji mabao hatari wa Atletico Madrid, Antoine Griezmann, alilazimika kuyakosa mazoezi ya timu hiyo kwa sababu alitakiwa kwenda kukutana na daktari wake wa meno. Atletico wanajiwinda na mchezo wao wa mwisho kabla ya Sikukuu ya Krismasi ambapo watashuka dimbani Jumamosi kukipiga na Espanyol. Thomas Lemar, aliyekuwa akiuguza majeraha ya mguu aliyoyapata katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa […]

WAKALA AFICHUA JUVE WALIVYOMTEKA RONALDO

TURIN, Italia CRISTIANO Ronaldo alimwomba wakala wake, Jorge Mendes, ahangaikie uhamisho wa kuondoka Real Madrid na kwenda Juventus na mazungumzo kati yao na klabu hiyo yalichukua miezi miwili au mitatu. Mendes ndiye aliyeanika ukweli huo juzi, akisema mwanasoka huyo mwenye umri wa miaka 33, alikoshwa na namna mashabiki wa Juve walivyompokea alipokwenda na Madrid katika mechi ya Ligi ya Mabingwa […]

UEFA WAISHUKIA CHELSEA KISA UBAGUZI

LONDON, England SHIRIKISHO la Soka la Ulaya (UEFA), linachunguza tuhuma za mashabiki wa Chelsea kuwafanyia vitendo vya ubaguzi wa rangi wachezaji wa MOL Vidi ya Hungary katika mchezo wa Ligi ya Europa uliochezwa Alhamisi ya wiki iliyopita. Wakati mchezo huo ukiendelea, kulikuwa na matukio ya ubaguzi na baadaye mabosi wa Chelsea walituma barua ya maneno 700 kulaani vikali ‘uhuni’ huo, […]

EMERY AMNG’ATA SIKIO POCHETTINO, AMTAKA KUIKATAA MAN UNITED

LONDON, England MAURICIO Pochettino anatakiwa kuikataa ofa yoyote atakayowekewa mezani na mabosi wa Manchester United, kwa mujibu wa kocha wa Arsenal, Unai Emery. Miaka miwili na nusu ya utawala wa Jose Mourinho ilifikia tamati Jumanne ya wiki hii baada ya Man United kutangaza kusitisha mkataba wake kutokana na mwenendo usioridhisha wa timu yao hiyo. Uongozi wa Mashetani Wekundu hao jana […]

WACHEZAJI HAWA WALIPOTEZA MATUMAINI LAKINI MSIMU HUU WAPO VIZURI EPL

LONDON, England   KWA mara ya kwanza katika historia ya Ligi Kuu England kwa timu tatu mpaka kufikia mzunguko wa 10 hazijapoteza mchezo wowote mpaka sasa. Manchester City na Liverpool wanatenganishwa na tofauti ya mabao ya kufunga na kufungwa katika msimamo huku Chelsea wakisalia nafasi ya tatu licha ya kutopoteza mchezo mpaka sasa. Kama ilivyo kila msimu, timu kubwa huwa […]

SUAREZ AKIRI BARCA INAHITAJI STRAIKA

CATALONIA, Hispania STRAIKA wa klabu ya Barcelona, Luis Suarez, amesema ni kawaida kwa klabu yake hiyo kuhusishwa na majina ya washambuliaji mbalimbali, akikiri kwamba wanahitaji nguvu mpya kwenye safu ya mashambulizi. Suarez alipachika mabao matatu na kuipa Barcelona ushindi mnono wa mabao 5-1 dhidi ya Real Madrid wikiendi iliyopita, lakini anaamini kwamba straika mpya anahitajika ili amsaidie kubeba jukumu la […]

SILVA: ARSENAL NAO WAMO MBIO ZA UBINGWA

MANCHESTER, England   KIUNGO wa timu ya Manchester City, Bernado Silva, amezitaja timu nne zenye uwezo wa kuipa upinzani klabu yake kwenye mbio za kuwania ubingwa wa Ligi Kuu England, ikiwemo timu ya Arsenal. Silva na City yake wana jukumu zito la kutetea ubingwa wao msimu huu, baada ya kuweka rekodi ya kipekee msimu uliopita waliponyakua taji la ligi hiyo […]