Category: michezo kimataifa

VITA YA VIKOSI VILIVYOPANGWA KWA MZUNGUKO

MADRID, Hispania FAINALI ya Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu huu inayozikutanisha Real Madrid na Juventus, itakuwa ya aina yake kutokana na aina ya vikosi vitakavyokutana Jumamosi hii nchini Wales. Kocha wa Real Madrid, Zinedine Zidane, ameweza kukipanga kikosi chake kwa mzunguko akimtumia kila mchezaji kwa zamu, jambo ambalo Juventus nao wamelifanya. Katika mechi tano za ugenini, kikosi cha Los Blancos […]

HAWA NDIO WAGENI LIGI KUU ENGLAND 2017-18

LONDON, England MBIO za kulifukuzia taji la Ligi Kuu England (EPL) kwa msimu mpya wa 2017-18 zitaanza rasmi Agosti 12 na kumalizika Mei 13, mwakani. Huo utakuwa ni msimu wa 26 tangu mwaka 1992 ilipoanzishwa ligi hiyo maarufu na yenye mashabiki wengi duniani. Chelsea ndio watakaokuwa mabingwa watetezi baada ya kuchukua taji hilo katika msimu uliomalizika hivi karibuni, huku Sunderland […]

UNAFIKI WA MASTAA UMEWAUA RANIERI, ENRIQUE

LONDON, England MAPEMA mwaka huu, mashabiki wa Leicester City walishangazwa na taarifa za ghafla za kutimuliwa kazi kwa kocha wao, Claudio Ranieri. Muitalia huyo alikuwa shujaa wao hasa kwa kitendo cha kuwapa taji la kwanza la Ligi Kuu England. Ilichukuwa muda mrefu kwa uongozi wa Leicester kuzima maandamano ya mara kwa mara ya mashabiki, ambao waliamini Ranieri hakutendewa haki, ikizingatiwa […]

KUMBE NADAL ALIMPIGIA PEREZ AMSAJILI ASENSIO

MADRID, Hispania KATIKA runinga ya Real Madrid, alikuwa akihojiwa Marco Asensio, ambaye alizungumza jinsi gwiji wa mchezo wa tenisi na shabiki wa klabu hiyo ya Madrid, Rafa Nadal, alivyofanya mpango wa chipukizi huyo asajiliwe. Nyota huyo wa Mallorcan alikuwa ni shabiki wa Madrid tangu zamani na anamshukuru Nadal kwa kuzungumza na Perez na kupata nafasi ya kuonekana. “Ni kweli, Rafa […]

AJ AOMBA KAZI KWA MAYWEATHER NA MCGREGOR

PAMBANO la Floyd Mayweather na Conor McGregor linatarajiwa kuwa la aina yake kwenye historia ya masumbwi. Hiyo ndio maana bondia asiyepigika, Anthony Joshua ‘AJ’, anataka kuhusika kwenye pambano hilo. Bingwa huyo wa mkanda wa IBF, WBA na IBO alikutana na Mayweather na kwenye video iliyoonyeshwa na runinga ya IFL, bondia huyo wa Mareakani, alisema: “Mimi na McGregor tunatosha?” AJ alijibu: […]

ARSENAL NI MWENDO WA REKODI

London, England MABAO ya Alexis Sanchez na Aaron Ramsey limeifanya Arsenal kuzima ndoto za kikosi cha kocha Antonio Conte, Chelsea kubeba mataji mawili msimu huu. Mambo yalianza kuharibika dakika ya nne ya mchezo huo. Sanchez alimtoboa Thibaut Courtois lakini ilibakia kidogo bao hilo likataliwe kwa kuushika mpira au Ramsey kuwa ameotea kabla ya bao. Arsenal walipata nguvu zaidi baada ya […]

MAN UTD TAJI MOJA REKODI SABA

LONDON, England MASHABIKI wengi wa timu ya Manchester United wamefurahi kwa kushuhudia timu yao ikinyakua ubingwa wa Kombe la Ligi ya Europa. Katika furaha yao wengi wao watakuwa wakifurahia kuona timu hiyo ikinyakua taji jingine kubwa na huku wengi wakifurahi kwa kuona mashetani hao wekundu wakitinga kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa msimu ujao. Hata hivyo, ushindi huo wa juzi […]

ARSENAL VS CHELSEA NI KUSAKA REKODI

LONDON, England BAADA ya kumalizika kwa michuano ya Ligi Kuu England mwishoni mwa wiki iliyopita, leo kivumbi kinageukia katika mechi ya fainali kati ya timu za  Chelsea na Arsenal. Mtanange huo unakutanisha miamba hiyo ikiwa na dhamira tofauti, ambapo  Arsenal  wao watakuwa na dhamira mbili ambazo  ni moja kupoza machungu ya kushindwa kufuzu hatua ya nne bora na hivyo kushindwa […]

NAHODHA MPYA MAN UNITED ATATOKA HAPA

MANCHESTER, England NAHODHA wa sasa, Wayne Rooney, hana nafasi kwenye kikosi cha kwanza cha Jose Mourinho na haijulikani pia kama msimu ujao ataendelea kubaki Old Trafford. Msaidizi wake ni Michael Carrick, (35). Hana tofauti sana na Wayne, hana uhakika wa namba na pengine huu unaweza kuwa msimu wake wa mwisho na jezi ya Manchester United. Nani anafaa kuwa nahodha mpya […]