Category: michezo kimataifa

Messi afikia rekodi ya ‘babu’ La Liga

CATALUNYA, Hispania LIONEL Messi amekinyakua kwa mara ya sita kiatu cha mfungaji bora wa La Liga, tuzo inayotolewa na gazeti la Marca. Kabla ya kufanya hivyo msimu huu, ni mshambuliaji wa zamani wa Athletic Bilbao, Telmo Zarra, ndiye aliyekuwa ameibeba mara nyingi (6). Messi (31) aliibeba baada ya kuziona nyavu mara mbili wakati Barca wakitoka sare ya mabao 2-2 na […]

Pepe aibeba tuzo ya Afrika kule Ufaransa

PARIS, Ufaransa WINGA raia wa Ivory Coast anayeichezea Lille, Nicholas Pepe, ameinyakua tuzo ya Mwafrika Bora kwa msimu huu wa Ligi Kuu ya Ufaransa ‘Ligue 1’. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 23, aliibuka kidedea kwa kuwazima Whabi Khazri wa Tunisia (Saint-Etienne) na raia wa Senegal, Ismaila Sarr (Rennes). Pepe anakuwa mwanasoka wa tatu kutoka Ivory Coast kuipeleka nyumbani tuzo […]

Sarri kuanza na Giroud mapema

LONDON, England TIMU ya Chelsea imepanga kumwongezea mkataba wa mwaka mmoja straika wa kikosi hicho, Olivier Giroud, ambaye alitajwa kuondoka mwishoni mwa msimu huu kwa kukosa nafasi ya kucheza. Lakini kocha wa kikosi hicho, Maurizio Sarri, ameuambia uongozi wa timu hiyo ufanye haraka kumpa mkataba straika huyo ambaye amepachika mabao 10 katika michuano ya Ligi ya Europa. Hata hivyo, Chelsea […]

Huyo Sanchez hataki mchezo kabisa

MANCHESTER, England TAARIFA zinasema kuwa winga wa Manchester United, Alexis Sanchez, amepanga kupunguza likizo yake kisha kurudi haraka kujiandaa na msimu mpya. Tangu ajiunge na kikosi hicho akitokea Arsenal, ameshindwa kuonyesha kiwango alichotarajiwa na wengi lakini nyota huyo wa Chile anaamini muda wa kufanya hivyo umefika. Kwa sasa Sanchez amerudi kwao Chile kwa ajili ya kuwaona marafiki na familia huku […]

Mkongwe awapa Man United beki

MANCHESTER, England KIUNGO wa zamani wa Manchester United, Darren Fletcher, ameiambia timu hiyo ifanye haraka kumsajili beki wa kati wa Stoke City, Nathan Collins, mwenye umri wa miaka 18. Beki huyo alichaguliwa katika kikosi bora cha msimu katika Ligi Daraja la Kwanza, hiyo inaweza kumfanya kocha wa Manchester United, Ole Gunnar Solskjaer, kushawishika kumsajili. Fletcher amekuwa shabiki mkubwa wa beki […]

Conte, Inter Milan mambo safi

MILAN, Italia KOCHA wa zamani wa Chelsea, Antonio Conte, anakaribia kukubali ofa ya kuifundisha timu ya Inter Milan, taarifa hiyo ilitolewa na kituo cha Sky Sports, nchini Italia. Inadaiwa kuwa Inter Milan watamfukuza kocha wao, Luciano Spalletti, mwishoni mwa msimu huu na kumtwaa Conte aliyewahi kuifundisha kwa mafanikio Juventus. Tangu Julai 2018, Conte alikuwa hana timu lakini dili hilo la […]

CHUKI TU ;Hata hawa waliwahi kugombana kama ilivyokuwa kwa Zidane, Bale

MADRID, Hispania UGOMVI au kugombana kati ya kocha na mchezaji wake ni jambo la kawaida katika soka, kama ilivyo hivi sasa macho ya kila mmoja yameelekezwa ndani ya kikosi cha Real Madrid. Kocha wa Real Madrid, Zinedine Zidane na winga wake, Gareth Bale, hawako kwenye maelewano kama zamani baada ya kocha huyo raia wa Ufaransa kusema kuwa mchezaji huyo hana […]