Category: Maoni

TUUNGE MKONO MFUMO WA TIKETI ZA KIELEKTRONIKI

BAADA ya hadithi nyingi, hatimaye mwisho wa wiki hii mashabiki wa soka wataingia Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam, kushuhudia pambano la Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kati ya Simba na Majimaji, kwa kutumia mfumo mpya wa tiketi za elektroniki. Awali majaribio ya matumizi ya mfumo huo yalipangwa kufanyika wakati wa pambano maalumu la kuchangisha fedha kwa ajili […]