Category: Maoni

LIGI DARAJA LA KWANZA IMEKUWA JIPU SUGU

LIGI Daraja la Kwanza Tanzania Bara inaelekea ukingoni na timu tatu zitakazopanda kwenye Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara zitajulikana muda si mrefu. Ligi hiyo inayochezwa kwenye makundi matatu, imekuwa na ushindani mkubwa lakini pia ndiyo ligi ambayo imekuwa na malalamiko mengi sana pengine kuliko ligi zote hapa nchini. Malalamiko kwenye ligi hiyo yanatokana na ukweli kwamba baadhi ya timu […]

MADANSA WETU WAKITUMIKA WATABUNI MITINDO BORA

KARIBUNI tena kwenye kilinge hiki Jumatatu ya leo, nafahamu kwamba wengi wetu tumetoka kwenye mapumziko ya mwisho wa wiki na bila shaka mapumziko yalikwenda vyema hasa kutokana na kwamba mwishoni mwa wiki mambo mengi hutokea kwenye majukwaa ya sanaa. Katika makala zilizopita niliahidi kuzungumzia mashindano yaliyopita ya dansi na kuwataja baadhi ya majaji na wageni wa heshima wa kipindi kile […]

SIJUI KAMA SIMBA HAWATANG’OA VITI TENA

NA ONESMO KAPINGA MECHI inayosubiriwa kwa sasa ya kufunga msimu wa Ligi Kuu Tanzania Bara, ni ile itakayowakutanisha watani wa jadi, Simba na Yanga, iliyopangwa kufanyika mwezi ujao. Ni mechi muhimu kwa kila timu kuweza kutoa mwelekeo mzuri wa nani anaweza kuwa bingwa wa msimu huu ikizingatiwa timu hizo mbili zinachuana kileleni. Watani hao wanatarajia kukutana kwa mara nyingine kwenye […]

UKURASA WA LUFUNGA UMEFUNGWA ILA SIMBA IJITATHMINI

NA ZAITUNI KIBWANA WIKI hii yote kila unapokatiza stori kubwa ilikuwa ni jina la beki wa Simba, Novaty Lufunga, ambaye alikatiwa rufaa na timu ya Polisi Dar es Salaam kupinga kuchezeshwa kwake wakati akiwa anatumikia adhabu ya kadi nyekundu. Rufaa hiyo tayari imetupwa baada ya kamati ya Mashindano ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kugoma kuisikiliza kwa sababu haikufuata utaratibu. […]

USIWAAMINI ARSENAL KWA CHELSEA HII

WAKATI wanaume wakitoana jasho katika nusu fainali ya Afcon ambayo haitabiriki, watu wakichana sana mikeka yao kwenye hatua ya makundi ambayo ilikuwa na matokeo yaliyokuwa yakiwashangaza wengi. Achana na hao turudi kwenye ulaji wetu Ligi Kuu ya England inayoendelea Jumatano hii kwa michezo mitatu. Mtanange mkubwa zaidi utakuwa Jumamosi, ambapo wapinzani wa Jiji la London, Chelsea na Arsenal wataoneshana kazi […]

WENGER ANAMTAFUTA NINI SANCHEZ?

Ana dalili za kumuudhi wikiendi hii LONDON, England USIJE ukashangaa kesho Arsene Wenger akamuudhi mshambuliaji wake, Alexis Sanchez. Tatizo hilo halitakuwa kwenye upande wa mkataba. Hakutakuwa na tatizo la masuala ya nidhamu ndani na nje ya uwanja. Bali kocha huyo wa Arsenal atamwambia nyota huyo wa Chile kwamba ataachwa kwenye kikosi kitakachocheza Kombe la FA dhidi ya Southampton kesho. Hilo […]

ZANZIBAR ISISAHAULIKE TENA AFCON 2019

NA HASSAN DAUDI KWA utafiti wangu mdogo, ni wachezaji wachache tu kutoka Zanzibar wanaopata nafasi kwenye kikosi cha timu ya soka ya Taifa, Taifa Stars. Uteuzi wa kikosi cha Stars umekuwa ukiangalia zaidi wachezaji wanaokipiga Bara. Lakini pia, hata wale mastaa wachache wanaotoka Zanzibar hulazimika kuwa kwenye klabu za Bara hasa zile za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL). Masoud Nassor […]