Category: Maoni

Mitandao isiwape kiburi wasanii wenye mashabiki wengi

CHRISTOPHER MSEKENA NIANZE kwa kusema nimekutana na kauli za wasanii wakubwa hapa Bongo na nje  wakitamba kuwa katika kipindi hiki cha mitandao ya kijamii, vyombo vya habari kama vile redio, runinga, magazeti havina nguvu tena ya kutangaza kazi zao za sanaa. Hatua hiyo imekuja kutokana na ukweli kwamba katika mitandao ya kijamii, wasanii wamekuwa na mashabiki wengi hivyo kurahisisha masuala […]

Zahera anavyowavua nguo viongozi Yanga

NA HUSSEIN OMAR KUNA kichekesho kinaendelea hivi sasa ndani ya klabu ya Yanga. Umeshakisikia? Kama bado ngoja nikwambie… pale Jangwani sasa hivi Kocha Mkuu, Mwinyi Zahera, ndiye kila kitu. Kwanini ninasema hivyo? Zahera amekuwa msaada mkubwa kwa wachezaji wa Yanga katika kuwafundisha uwanjani mpaka kuwalipa posho ili waweze kucheza kwa uwezo wao wote na kuipa timu ushindi. Tangu kujiuzulu kwa […]

Hivi wachezaji wetu wanajifunza kwa Samatta?

EZEKIEL TENDWA Sikushangaa nilipopata taarifa baadhi ya klabu za England zinaiwinda saini ya mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Tanzania na KRC Genk inayoshiriki Ligi Kuu ya Ubelgiji, Mbwana Samatta. Timu zilizotajwa kutaka kumsajili Samatta ni West Ham United, Everton na Burnley zinazoshiriki Ligi Kuu England  huku timu kutoka Ujerumani nazo zikitajwa kumwinda Mtanzania huyo. Taarifa juu ya Samatta kuwindwa na […]

Francis Cheka apumzike kupanda ulingo wa ndondi

WINFRIDA MTOI HABARI zilizochukua nafasi kubwa katika ulingo wa masumbwi jana ni kipigo cha bondia mkongwe wa ngumi za kulipwa nchini, Francis Cheka, alichokipata kutoka kwa Abdallah Pazi maarufu Dulla Mbabe. Cheka alipata kichapo hicho cha Knock Out (KO) katika raundi ya sita ya pambano la raundi 12 la kuwania ubingwa wa dunia wa WBF, lililofanyika kwenye Ukumbi wa PTA, […]

Kushindwa kujiongeza kunaizamisha tasnia ya filamu

NA KYALAA SEHEYE MPAKA sasa tasnia ya filamu haijajua kazi zao zitauzika katika soko lipi huku wengi wakiwa wamefanya kazi nzuri ila wameziweka ndani kisa mnunuzi wa awali ameacha kufanya biashara hiyo. Binafsi nayaita hayo ni mawazo mgando kwa kuwa uwezo wa kuendeleza soko hilo kimataifa upo mikononi mwao kwa njia mbadala. Wengi wao kwa sasa wanategemea kuuza kazi zao […]

WACHEZAJI WASIKURUPUKE DIRISHA DOGO

KLABU zinaendelea kusajili wachezaji wapya katika dirisha dogo, lengo likiwa ni kuboresha vikosi vyao vinavyoshiriki Ligi Kuu, Daraja la Kwanza na Ligi Daraja la Pili Taifa. Kipindi hiki, klabu zinapigana vikumbo kuhakikisha zinafanya usajili mzuri kwa lengo la kuziba mapungufu yaliyojitokeza katika michezo iliyochezwa. Kwa wachezaji kipindi hiki ni cha mavuno kwao, kwani kila mchezaji huvuna alichokipanda, wapo wanaosajiliwa kwa […]

Simba imetangulia bado kulinda ushindi ugenini

NA ONESMO KAPINGA KIKOSI cha Simba kilichoenea kila idara kimeanza vizuri safari ya kusaka ubingwa wa Afrika, baada ya kuifunga mabao 4-1 timu ya Mbabane Swallows ya Swaziland, katika mchezo wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa Afrika, uliochezwa juzi kwenye Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam. Matokeo hayo ni mtaji mkubwa kwa Simba ambao watahitaji kulinda ushindi huo katika […]

Bado Stars u23 wanayo nafasi kucheza Misri

WAHENGA waliwahi kusema ‘kuvunjika kwa koleo sio mwisho wa uhunzi’ na wengine kuongeza ‘kuvunjika kwa mwiko sio mwisho wa kusonga ugali’. Ndivyo hivyo BINGWA tunawaambia wachezaji wa timu ya soka ya Tanzania chini ya umri wa miaka 23. Wawakilishi wetu hawa wanaowania tiketi ya kucheza michuano ya Kombe la Afrika kwa vijana chini ya miaka 23 zitakazofanyika mwakani nchini Misri […]

Je, vifungo ni suluhisho matatizo ya soka letu?

NA SALMA MPELI NI mwaka mmoja na miezi mitatu imepita tangu uongozi mpya wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) chini ya Rais, Wallace Karia, uingie madarakani. Katika uchaguzi mkuu wa TFF uliofanyika Agosti 12 mwaka jana jijini Dodoma, Michael Wambura, alichaguliwa kuwa makamu wa rais, lakini sasa amefungiwa maisha kujihusisha na soka. Kwa sasa Athuman Nyamlani ndiye anayekaimu nafasi hiyo […]

Hongereni Basata ila ongezeni makali zaidi

NA CHRISTOPHER MSEKENA NIMEKUWA nikisikiliza nyimbo za wasanii wetu wa Bongo Fleva kwa muda mrefu sasa sababu ni muziki ninaopenda kama unavyopendwa na vijana wengine katika ukanda huu ya Afrika Mashariki. Jambo ambalo nimejifunza ni kukosekana kwa ubunifu unaopelekea wasanii kutumia tungo nyepesi ambazo wakati mwingine zinashindwa kuficha matusi na hamasa za ngono zilizopo ndani yake. Nyimbo za sasa hivi […]