Category: Maoni

Namkumbusha Diamond, anaweza kujijenga na kujibomoa mwenyewe

NA CHRISTOPHER MSEKENA HAKUNA anayeweza kubisha kuwa miongoni mwa wasanii wa Bongo Fleva wenye utajiri mkubwa ni Diamond Platnumz, mafanikio yake yanaonekana kwa sababu si mtu wa kuficha. Dili zake anazopata kutoka kwenye kampuni mbalimbali nyingi zinakuwa wazi, mara kadhaa amekuwa akionyesha mali anazomiliki kama vile nyumba, magari, miradi yake, vito vya thamani na mengineyo mengi ambayo yanaonyesha yupo vizuri […]

Yote yaliyojadiliwa katika mkutano mkuu TFF, yatekelezwe kwa vitendo

WAJUMBE wa Mkutano Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), wamejadili na kupitisha masuala mbalimbali ya maendeleo ya soka katika mkutano wa kikatiba uliofanyika Jumamosi iliyopita, kwenye Ukumbi wa Arusha International Conference Center (AICC). Mkutano huo ambao ulikuwa wa kwanza tangu uongozi wa sasa kuingia madarakani Agosti 12 mwaka juzi, wajumbe waliweza kujadili mambo mbalimbali ya maendeleo ya soka. Miongoni […]

Starehe nyingi, ubinafsi ni tatizo kwenye sanaa

NA CHRISTOPHER MSEKENA HAKUNA msanii ambaye hapendi kupanda juu kisanii. Kila msanii anapenda kufanikiwa. Muhimu kwao ni kuwa na mafanikio. Kinachoendelea ni kutafuta njia za kupanda zaidi na zaidi kisanii. Hapo sasa wengine hujikuta wakiingia kwenye njia zisizofaa. Wapo wale wanaoamini mambo ya kishirikina. Hao huenda kwa waganga wa jadi kuangalia namna ya kupandishwa nyota zao ili wapate mashabiki wengi […]

Amri Said angetumia busara kwa kipa wake

NA WINFRIDA MTOI BAADA ya mechi ya Azam Sports Federation Cup (ASFC) kati ya Yanga na Biashara United, kitu kilichozua gumzo kubwa ni kitendo cha Kocha wa Biashara, Amri Said, kuonekana akirushiana maneno na mlinda mlango wake, Nurdin Balora, baada ya kumfanyia mabadiliko. Mlinda mlango huyo alipofika katika benchi baada ya kupumzishwa alionekana kuanza kurushiana maneno na Amri, ambaye aliamua […]

Haji Manara anastahili pongezi kwa ubunifu

NA WINFRIDA MTOI KESHO Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba, Haji Manara, anatarajiwa kuzindua aina ya manukato aliyoiita jina la Dela Boss. Dela Boss ni jina ambalo Manara alilipata baada ya kupata nafasi hiyo Simba na amekuwa akilitumia zaidi mbele ya mashabiki wa soka katika kunadi klabu yake au kuhamasisha wapenzi wa kikosi hicho kufanya […]

Kwanini wenyeji Mapinduzi Cup wawe wasindikizaji?

NA SALMA MPELI MICHUANO ya Kombe la Mapinduzi iliyofanyika visiwani Zanzibar imemalizika baada ya timu tisa kushiriki mwaka huu bila kuwa na klabu kutoka nje ya nchi kama ilivyozoeleka. Michuano hiyo iliyoanzishwa mwaka 2007, mwaka huu ilitimiza miaka 12 tangu kuanzishwa mwake, huku bingwa wa taji hilo mara nyingi zaidi ikiwa ni timu ya Azam ambao wametwaa taji hilo mara […]

Ligi Kuu ya Wanawake iendelee kuhamasishwa

TIMU ya Yanga Princess ilipata kichapo cha mabao 7-0 kutoka kwa Simba Queens katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, uliochezwa kwenye Uwanja wa Karume, Dar es Salaam. Yanga Princess ambayo inashiriki kwa mara ya kwanza ligi hiyo baada ya kupanda daraja, ilionekana kuzidiwa kila idara. Pamoja na kipigo walichokipata Yanga Princess, tunaamini watajipanga vizuri ili kuweza kupata ushindi katika […]

Mtu wa soka hawezi kwenda mahakamani kupinga uchaguzi 

MZEE WA KUPASUA, kapssmo@gmail.com 0716985381 NA ONESMO KAPINGA KWANZA Mzee wa Kupasua anawapongeza Simba kwa ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya JS Saoura ya Algeria, katika mchezo wa makundi wa Kundi D, Ligi ya Mabingwa Afrika. Simba walitisha Bara la Afrika baada ya kuichapa timu hiyo mwishoni mwa wiki kwenye Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam. Ni mwanzo mzuri […]

Simba safi, lakini kazi kubwa ipo mbele

NA ZAINAB IDDY NATOA pongezi nyingi kwa benchi la ufundi la timu ya Simba pamoja na wachezaji kutokana na kandanda safi waliloonyesha katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam juzi, wakati wakicheza dhidi ya JS Saoura kutoka nchini Algeria. Simba juzi walianza safari yao katika hatua ya makundi ya Klabu Bingwa Afrika baada ya kupata ushindi wa mabao 3-0 dhidi […]