Category: Makala

Kichuya afunga… Bao la rekodi duniani

NA HASSAN DAUDI, MOJA kati ya mabao matamu yaliyowahi kutokea katika mchezo wa mahasimu Simba na Yanga ‘Kariakoo derby’ ni lile lililofungwa juzi na staa Shiza Kichuya. Katika mtanange huo ambao timu hizo zilitoka sare ya bao 1-1, Kichuya ndiye aliyeisawazishia Simba, baada ya Amis Tambwe kuitanguliza Yanga katika dakika ya 26. Kichuya alifunga bao hilo kwa mpira wa kona […]

Namna Chelsea walivyocheka kwenye mfumo mpya wa 5-3-2

LONDON, England BAADA ya kupokea vichapo mfululizo kutoka kwa Liverpool na Arsenal, Kocha Mkuu wa Chelsea, Antonio Conte, aliamua kubadili mfumo wake ndani ya kikosi na kufanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 ugenini dhidi ya Hull City juzi Jumamosi. Conte alivyokuwa akiinoa Juventus na timu ya taifa ya Italia, alijulikana kwa mapenzi yake ya kutumia mfumo wa mabeki watatu […]

Hans Pluijm Vs Joseph Omog nani ni nani leo?

NA ZAINAB IDDY MAJIGAMBO ya mashabiki wa Simba na Yanga kuhusu nani ana kikosi bora zaidi ya mwenzake yatapata jawabu leo, wakati timu hizo zitakaposhuka dimbani kuumana katika pambano litakalopigwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Timu hizo zilizoanzishwa miaka ya 1960 zinakutana kwa mara ya 83 katika michezo ya Ligi Kuu Tanzania Bara. Yanga, ambayo ni bingwa mtetezi […]

DAR DERBY, ATAKAYEKISHINDA CHUMBA CHAKE ATASHINDA VITA YOTE

NA HALIDI MTUMBUKA, NI vita ya kasi ya Shiza Kichuya na utayari wa mwili wa Mwinyi Haji, ni vita ya nguvu za Andrew Vincent ‘Dante’ na akili za Ibrahim Ajib, ni vita ya mikono ya Vincent Angban dhidi ya kichwa cha Amissi Tambwe, ni vita ya Donald Ngoma dhidi ya Method Mwanjali, ni vita ya Laudit Mavugo na Kelvin Yondani. […]

Nyota wa kuamua matokeo, Simba Vs Yanga

NA ZAINAB IDDY, KUNA mijadala mikubwa miwili ambayo kwa sasa  imeteka mazungumzo ya Watanzania wengi, mmoja  ukiwa ni tetemeko la ardhi lililotokea Kanda ya Ziwa, hasa Mkoa wa Kagera, mwingine ni mechi ya Watani wa Jadi, Simba na Yanga. Kwa upande wa tetemeko, hiki ni kisa kibaya zaidi kuwahi kutokea na kusababisha madhara kutokana na kusababishja vifo vya watu wengi […]

DAUDI DUMA: Amepania kuivusha Bongo Movie kimataifa

NA DANFORD MATHIAS (TUDARCO) KADIRI siku zinavyokwenda tasnia ya filamu nchini inazidi kukua kwa kasi siku hadi siku, hii inatokana na juhudi na ubunifu wa wasanii ambao kila siku wanajiongeza ili kukata kiu ya mashabiki wao ndani na nje ya nchi. Jina la Daudi Michael ‘Duma’, si geni kwa mashabiki na wapenzi wa filamu nchini. Uigizaji wake wa hali ya […]

Simba vs Yanga: Haya yataamua mechi ya Kariakoo Dabi

NA MAREGES NYAMAKA ZIMEBAKI saa chache kabla ya umati wa mashabiki na wadau wa soka nchini na nje ya mipaka ya Tanzania, kushuhudia ‘Derby’ ya Kariakoo kati ya Simba na Yanga itakayopigwa kesho kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Klabu hizo mbili kongwe zaidi nchini, zitashuka uwanjani huku Yanga ikiwa na kumbukumbu nzuri ya kuibuka na pointi zote […]

Hapa ndipo tunapokosea kuhusu Kiba, Diamond

NA WARREN GERSON (TUDARCO) POPOTE unapoanzisha mjadala wa nani bora kati ya Lionel Messi na Cristiano Ronaldo, hutapata majibu zaidi ya kuibua ugomvi kwa sababu wawili hawa wameugawa ulimwengu wa soka katika makundi mawili. Kila upande unaamini katika ubora wa mchezaji wake na hauoni zuri lolote kutoka upande wa pili, kitu ambacho baadhi ya wachambuzi wa soka wanaamini si haki […]

Chirwa unataka heshima? Funga kesho

NA EZEKIEL TENDWA KATIKA siku hizi mbili tatu, mjadala mkubwa kwenye Jiji la Dar es Salaam na Tanzania kwa ujumla umekuwa ni jina la Profesa Ibrahim Lipumba, baada ya kufikia uamuzi wa kutaka kurejeshewa uenyekiti wake katika chama chake cha CUF. Profesa wetu huyu ambaye aliamua kuacha uenyekiti wake na kutamka kwamba anataka kuwa mwanachama wa kawaida na mshauri, ameona […]

Sia Pius; Miss Sinza 2016 aliyepania kubeba taji la Miss Tanzania

NA BEATRICE KAIZA KUELEKEA shindano la Miss Tanzania 2016 ambalo washiriki wake wanatarajiwa kuingia kambini Ijumaa hii, Miss Sinza 2016 na mshindi wa tatu Miss Kinondoni, Sia Pius, ametamba kwenda kutwaa taji hilo la mlimbwende wa Tanzania kwa mara ya kwanza tangu shindano hilo lirudishwe. Juzi kati Sia alitembelea Ofisi za New Habari (2006) Ltd, wazalishaji wa magazeti ya Bingwa, […]