Category: Makala

CHELSEA YAPATA 10 KWA 10 WAKATI IBRA AKIIOKOA MANCHESTER UNITED

LONDON, England BAO la Cesc Fabregas liliisaidia Chelsea kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Sunderland juzi Jumatano usiku, ukiwa ni ushindi wao wa 10 katika mechi zao 10 mfululizo wakati kocha Antonio Conte akijikita kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu England kwa pengo la pointi sita zaidi ya Liverpool na Arsenal. Fabregas, ambaye alichukua nafasi ya Nemanja Matic, […]

A.J VS KLITSCHKO LITAKUWA PAMBANO LA KITAJIRI ENGLAND

LONDON, England PAMBANO la milioni 42 kati ya Anthony Joshua na Wladimir Klitschko, litakuwa la kitajiri kuwahi kutokea England. Bingwa huyo wa mkanda wa IBF atakumbana na bondia wa Ukraine, mwenye umri wa miaka 40, huku mkanda uliowazi wa WBA nao utawaniwa kwenye pambano hilo linanalotarajiwa kufanyika Aprili 29, mwakani katika Uwanja wa Wembley. Pambano hilo linatarajiwa kuvunja rekodi ya […]

TAKWIMU ZINAMBEBA SANCHEZ DHIDI YA MESSI, SUAREZ NA RONALDO

London, England Alexis Sanchez anang’ara katika nafasi yake mpya ya ushambuliaji ndani ya Arsenal msimu huu, huku takwimu zinaonyesha kwamba kocha Arsene Wenger yuko sahihi kumbadilishia nafasi. Mshambuliaji huyo wa Chile amemweka benchi mshambuliaji Olivier Giroud kwenye klabu hiyo ya Emirates kwa mechi karibia zote za msimu huu na bila shaka ni kwa sababu ya umaliziaji wake kama mshambuliaji. Ingawa […]

ROBBEN ALIVYOIFUNGA ARSENAL NJE YA UWANJA

MUNICH, Ujerumani BAADA ya ratiba ya 16 bora Ligi ya Mabingwa Ulaya kutolewa siku chache zilizopita, wadau wengi wa soka walionekana kufurahishwa baada ya kuona klabu ya Arsenal ikiwa imepangwa tena na miamba ya Ujerumani, Bayern Munich ambao waliwahi kukutana robo fainali za 2013 2014. Kilichowafurahisha ni kwamba, mara nyingi Arsenal huishia katika hatua hiyo kutokana na timu ngumu wanazopangiwa […]

MASTAA HAWA KWA KUPIGA MIGUU YOTE UTAWAPENDA

LONDON, England HAKUNA kitu kitamu kwenye soka kama mchezaji kuwa na uwezo wa kutumia miguu yote miwili kwa ufasaha. Wapo wachezaji wa aina hiyo, tunaishi nao, kiufupi uwezo huo ni kama baraka tosha kwa mchezaji. Kwanza, ifahamike kwamba hapa hazungumziwi mchezaji mwenye uwezo wa kupiga shuti kali na mguu wake wa kushoto kuliko mwingine, bali ni yule mwenye uwezo wa […]

KWA AUBAMEYANG MAN CITY HAIMHITAJI AGUERO

MANCHESTER, England KUELEKEA dirisha dogo la usajili la Januari, tetesi ni nyingi zinzowahusisha wachezaji mbalimbali kuhama timu moja kwenda nyingine. Hata hivyo, inayoonekana kuteka vichwa vya habari zaidi ni ile inayomhusisha mpachikaji mabao hatari wa Ligi Kuu nchini Ujerumani (Bunderlsliga), Pierre-Emerick Aubameyang, kutua England na kujiunga na Manchester City. Inaelezwa kuwa, kichwa cha kocha wa timu hiyo, Pep Guardiola, hakijatulia […]

KWA TAKWMIMU HIZI ARSENAL WASHINDWE WENYEWE MSIMU HUU

LONDON, England HUENDA mashabiki wa Arsenal wamesahau ni lini timu yao ilichukua ubingwa wa Ligi Kuu ya England kwa mara ya mwisho. Ni zaidi ya miaka 10 iliyopita. Arsenal wameendelea kuwa wasindikizaji kwa kipindi chote hicho na hilo limekuwa likiwaumiza vichwa mashabiki, wachezaji na hata kocha wao, Arsene Wenger. Msimu uliopita, Arsenal walikuwa na nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa, lakini […]

TEH TEH TEH.. YULE NDIO MKATA UMEME SIO

TEH TEH TEH… Karibu sana Tanzania bwana Lwandamina, karibu sana baba. Mkoti wako nimeupokea na nitaufua baba, usijali kabisa, sisi Watanzania ni waungwana sana ndio maana tulikupokea, tukakuficha hotelini halafu tukakubanjua ‘two okloku’ ulivyokuja hadharani.. teh teh teh… sorry kwa kuchanganya mada. Mie mfua jezi najua bana ile mechi wewe hukuwa umeitolea macho kiviiiiiile, basi tu mtaalamu ulikuwa kwenye kuona […]

SOMO LA MAISHA KUTOKA KWENYE WARAKA WA SERENA

NEW YORK, Marekani VITA ya ubaguzi wa kijinsia kwenye malipo ya wacheza tenisi imepamba vyombo vingi vya habari mwanzoni mwa mwaka huu, huku mmoja wa nyota wa kike wa mchezo huo waliopigia kelele sana suala hilo, Serena Williams, akizidi kulivalia njuga. Moja ya mfano aliotoa Serena kuonyesha kuna ubaguzi wa kijinsia kwenye mchezo huo ni pale wanapomtaja kama mwanamichezo bora […]