Category: Makala

NIYONZIMA, HAKIKA UNAZILAINISHA KURASA NGUMU KUSOMEKA

NA HALID MTUMBUKA MICHAEL Jackson ni mmoja kati ya wanamuziki walioifanya dunia ya wapenda muziki kuupenda maradufu muziki wake. Michael Jackson aliifanya dunia kuwa rahisi mno kwa wapenda muziki na hata wale ambao hawakuzaliwa na vinasaba vya kuupenda muziki kwenye miili yao, walipenda vitu vichache kutoka kwake. Ni yeye aliyependwa kutokana na aina yake ya uchezaji jukwaani na ni yeye […]

LIGI KUU ENGLAND ITAWAKOSA NYOTA WA AFRIKA

Libreville, Gabon KUKARIBIA kwa michuano ya Mataifa ya Afrika mwakani, kunamaanisha makocha mbalimbali watapaswa kuendelea kupambana msimu huu bila mastaa wao. Kutokana na michuano hiyo kutarajiwa kutimua vumbi Januari 14 hadi Februari 5 mwakani, baadhi ya vikosi vitakuwa na kazi nzito zaidi kuliko wengine kwenye hatua hii muhimu ya msimu huu. Mtandao wa Sun umeorodhesha klabu za Ligi Kuu England […]

MATUKIO YA MICHEZO MEI 2016; YANGA YATWAA MATAJI YOTE

NA MWANDISHI WETU KADIRI siku zinavyokwenda ndivyo tulivyobakisha siku chache kuuaga mwaka 2016 na kuukaribisha mwaka 2017, ambapo yapo mashindano mengi ndani na nje ya nchi tunayotarajia kufanya vyema na kuondokana na usemi ‘Tanzania ni kichwa cha mwendawazimu’. BINGWA leo linamulika matukio ya michezo yaliyotokea Mei 2016 ikiwa ni mwendelezo wa kujikumbushia matukio muhimu yaliyojiri mwaka huu. *Yanga baba lao […]

DIRISHA DOGO LIMEPITA, WAMEBAKIA VIKOSINI MWAO

NA MAREGES NYAMAKA HATIMAYE Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara imerejea tena mwishoni mwa wiki iliyopita, baada ya dirisha dogo la usajili kufungwa usiku wa Desemba 15. Katika muda wa mwezi mmoja pilika pilika za huku na kule zilichukua nafasi yake, kivutio kikubwa cha mavuno kikiwa ni kwa wachezaji waliofanya vizuri sana mzunguko wa kwanza. Hata hivyo, kuna kundi la […]

NIYONZIMA AKUMBUSHA VITU VYA HAMISI GAGA

NA HENRY PAUL KIUNGO nyota wa klabu ya Yanga, Haruna Niyonzima, mwishoni mwa wiki katika mchezo uliokutanisha timu yake dhidi ya JKT Ruvu, alionesha vitu adimu ambavyo vilikuwa vikioneshwa na kiungo fundi Hamisi Thobias maarufu kama ‘Gagarino’. Niyonzima ambaye katika mchezo huo wa Jumamosi iliyopita mzunguko wa pili Ligi Kuu Tanzania Bara, uliochezwa kwenye Uwanja wa Uhuru, jijini Dar es […]

MASTAA HAWA HATUTAWAONA BOXING DAY LIGI KUU ENGLAND

LONDON, England KRISMASI ndio hiyo inatugongea hodi na kama historia ya soka la Ligi Kuu England isemavyo, ifikapo Desemba 26 burudani ya mechi za Ligi Kuu huendelea kwa mara nyingine. Siku hiyo itakuwa maalumu kwa wale wachezaji ambao walipata nafasi ya kupumzika na familia zao wakisherehekea sikukuu hiyo maalumu duniani. Kiufupi watakuwa kwenye wakati mzuri. Lakini kwa baadhi yao hawataweza […]

ARSENAL INA NINI? KUTOKA NAFASI YA KWANZA HADI YA NNE NDANI YA SIKU TISA?

LONDON, England BAADA ya kuongoza msimamo wa Ligi Kuu England dhidi ya Chelsea kufuatia ushindi wa michezo mitatu kati ya saba iliyowasaidia kufikia kileleni, matumaini ya ubingwa kwa klabu ya Arsenal yameanza kuning’inia kwenye kuti kavu kwa sasa. Hadi kufikia Desemba 10 mwaka huu, vijana hao wa kocha Arsene Wenger, walikuwa wanaongoza msimamo wa ligi baada ya kuzoa pointi tatu […]

MATUKIO YA MICHEZO YALIYOTIKISA APRILI 2016

NA MWANDISHI WETU, TUNAZIDI kuhesabu siku kuuaga mwaka 2016 na kuukaribisha mwaka 2017 ambao tunamatumaini utakuwa wa mafanikio katika sekta ya michezo. Leo BINGWA linakuletea matukio ya michezo yaliyojiri Aprili mwaka 2016:- *TFF yashusha rungu kali Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), imezikuta na hatia ya upangaji matokeo klabu za Geita Gold (Geita), JKT Oljoro (Arusha) na […]