Category: Makala

NYOTA KUTOKA EPL WATAKAONOGESHA AFCON 2017

FAINALI za Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) zitaanza Januari 14 nchini Gabon, siku chache tu zimebakia kuelekea katika fainali hizo ambazo zitakutanisha mataifa 16 miamba iliyochuana na kupata nafasi ya kucheza fainali hizo kati ya mataifa zaidi ya 50. Pamoja na utamu wa michuano hiyo, lakini pengine dunia ya soka itahamia Afrika kuangalia nini nyota kadhaa wanaotamba barani Ulaya […]

NEW HABARI, LORD BADEN WAANZA KUWASAKA AKINA SAMATTA WAPYA

NA SHARIFA MMASI WANAFUNZI waliomaliza darasa la saba mwaka huu ambao wana vipaji mbalimbali, wamepata zali la mentali kwa kugharamiwa masomo yao ya sekondari bure katika Shule ya Lord Baden Memorial iliyopo Bogamoyo, mkoani Pwani. Shule hiyo inayoongozwa na Kanali Mstaafu Iddi Kipingu, imeamua kufanya hivyo kama sehemu ya kuunga mkono jitihada za Serikali za kuendeleza michezo nchini pamoja na […]

2016 ULIKUWA PIA NI MWAKA WA MABEKI

KLABU ya Leicester City ilitwaa ubingwa wa England, Wales ikafika hatua ya nusu fainali katika michuano ya Euro 2016 na timu ya taifa iliyokuwa haitarajiwi ya Ureno ikatwaa ubingwa wa Ulaya. Na sasa klabu ya Chelsea katika hali isiyotarajiwa inaongoza ligi msimu huu wa 2015/6 chini ya Antonio Conte. Ukiziangalia timu hizo mara zote zimekuwa zikitumia mfumo wa kupaki basi […]

FUNGA MWAKA… NI VITA YA KUFUNGA MWAKA EPL

LONDON, England NI vita ya funga mwaka Ligi Kuu England, hivi ndivyo pengine unavyoweza kusema wakati ukizungumzia mechi za leo katika michuano hiyo. Msemo huo unatokana na kwamba, miamba mitatu inayofukuzana katika mbio za kutwaa taji hilo itashuka tena kwenye viwanja tofauti, huku ikiwa na kumbukumbu ya kushinda mechi zao zilizopita.  *Chelsea vs Stoke City Katika michezo iliyopita vinara  wanaoongoza […]

KWA HENDERSON HUYU MWACHENI COMMOLI ALE BATA IBIZA

NA AYOUB HINJO, KWENYE soka neno cha juu au 10 percent ni nadra sana kulisikia hasa huko barani Ulaya. Mwaka 2011 moja ya watu walioshutumiwa vikali na kuhusishwa na neno cha juu katika usajili alikuwa ni Damien Commoli wa Liverpool, je, unafamu kwanini ilikuwa hivyo? Mwaka huo, Commoli alipitisha usajili wa kiungo kinda, Jordan Henderson, kutoka Sunderland kwa ada ya […]

UTAMU MIGUUNI MWA MKHITARYAN NA MAAJABU YA ‘DA VINCI’

ABDUL KHALID NA MITANDAO (TSJ) NI karne nne na takribani siku kadhaa zimepita tangu kilipotokea kifo cha mwanadamu aliyewahi kuwa na vipaji murua duniani, Leonardo da Vinci. Mzaliwa wa Jamhuri wa Florence (hivi sasa Italia). Da Vinci alikuwa ni mwanadamu wa kipekee sana duniani na inasadikika hakuna mwingine aliyewahi kutokea kwa kuwa na vipaji kama alivyokuwa navyo yeye. 1452 ndio […]

USAJILI WA MAJIRA YA KIANGAZI ULIOTISHA EPL 2016

LONDON, England BAADHI ya timu za Ligi Kuu England zitakuwa bize mno pindi dirisha dogo la usajili litakapofunguliwa Januari mwakani, ambapo lengo lao kuu litakuwa ni kusaka wachezaji wa kuongeza nguvu ndani ya vikosi vyao. Hatua hiyo inakuja baada ya takribani miezi sita tangu timu hizo zifanye usajili mkubwa wa majira ya kiangazi Agosti mwaka huu na wapo baadhi ya […]

VICTOR WANYAMA MKENYA ANAYETISHIA ULAJI WA WAZUNGU SPURS

LONDON, England NI mmoja kati ya viungo bora kwenye kikosi cha Tottenham kwa sasa.Si rahisi kumshawishi kocha Mauricio Pochettino kumweka benchi Wanyama. Akitokea Southamppton, nyota huyo wa kimataifa wa Kenya amekuwa chaguo la kwanza kwenye safu ya kiungo ya Spurs. Hebu mtazame ‘fundi’ Eric Dier pale Spurs.Kiungo huyo wa kimataifa wa England alikuwa sehemu muhimu ya kikosi cha Tottenham msimu […]

YANGA KUNA TATIZO KUBWA ZAIDI YA MISHAHARA

NA HASSAN BUMBULI WIKI mbili zimepita tangu sakata la wachezaji wa Yanga kuweka mgomo wa mazoezi kwa siku mbili wakidai mshahara wao. Lilikuwa sakata ambalo lilitingisha kwenye vyombo vya habari lakini mbali na kutingisha, ni sakata ambalo lilishtua sana wadau wa soka hapa Tanzania na pengine nje ya mipaka ya Tanzania. Lilishtua kwa sababu hayajazoeleka mambo hayo kusikika Yanga tangu […]