Category: Makala

KIUNGO MKATA UMEME ASIWE KISHOKA YANGA

NA ONESMO KAPINGA YANGA wamemaliza tatizo la kiungo mkabaji baada ya kufanikiwa kumsajili Justin Zulu, aliyepachikwa jina la ‘Mkata Umeme’ katika dirisha dogo la usajili wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara. Kiungo huyo ni chaguo la kocha mkuu mpya wa timu hiyo, Mzambia George Lwandamina, aliyeanza kuifundisha Yanga hivi karibuni akitokea Zesco ya Zambia. Zulu, aliyefanya kazi kwa ukaribu […]

TIMU NDOGO KUWENI MAKINI NA ‘MAFAZA’ MNAOWAPOKEA

NA HASSAN DAUDI DIRISHA la usajili linatarajiwa kufungwa Desemba 15. Ni siku tatu pekee zimebaki kabla ya kufikia tamati kwa mchakato huo. Kwa kipindi chote hiki cha usajili, mashabiki wa soka wameshuhudia uhamisho wa wachezaji mbalimbali. Wapo waliohama kutoka timu moja kwenda nyingine lakini pia kuna idadi kubwa ya mastaa walioongeza mikataba ya kuendelea kukipiga katika klabu zao za zamani. […]

MADA MAUGO: NGUMI ZA MRUSI SITAKAA NIZISAHAU

NA ZAITUNI KIBWANA SI unamjua Mada Maugo yule bondia mwenye mikwara lukuki hasa akiwa anajiandaa na pambano? Utamsikia nitamvunja mtu taya, mara ngumi zangu atahadithia watoto wake. Pamoja na tambo zake zote hizo, kumbe naye ana wajanja wake. Huyu bwana mdogo ana mapambano mengi aliyopigana mpaka sasa, ila mwenyewe anakwambia mawili tu hatakaa hayasahau maisha yake yote. Unataka kuyajua mapambano […]

VITA YA ‘TOP FIVE’ NANI KULA KRISMASI KWA RAHA ZAKE?

LONDON, England LICHA ya kuwa mapumziko ya majira ya baridi, lakini kipindi cha majira ya baridi kuwa na unafuu kwa baadhi ya timu za Ligi Kuu England, kipindi cha sikukuu za Krismasi bado ni muhimu kwao. Umuhimu huo unatokana na kuwa ni kipindi ambacho kila timu huwa zinakabiliwa na majeruhi kutokana na kukutana na mechi nyingi mfululizo na ngumu. Ni […]

EZEQUIEL LAVEZZI; MURGENTINA ANAYEWAKIMBIZA RONALDO, MESSI KATIKA MSHAHARA

LONDON, England HUENDA mpaka sasa ulimwengu wa soka haujashuhudia wanasoka wenye vipaji vya hali ya juu kama walivyonavyo mastaa Lionel Messi na hasimu wake, Cristiano Ronaldo. Kutokana na hilo, kuna uhakika mkubwa kuwa mashabiki wengi wa soka wanaamini wawili hao ndio wachezaji wanaolipwa vizuri zaidi kwenye ulimwengu wa soka. Ni kweli Ronaldo, anayekipiga Real Madrid na Muargentina Messi wa Barcelona […]

TWITE NENDA, RAGE ATAKUKUMBUKA DAIMA

KIUNGO Mnyarwanda mwenye asili ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Mbuyu Twite, anatarajiwa kuagwa rasmi leo na mashabiki wa Yanga wakati timu yao itakapovaana na JKU ya Zanzibar katika mchezo wa kirafiki utakaopigwa Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam, ikiwa ni baada ya klabu hiyo kumsajili Mzambia, Justine Zulu. Twite mwenye uwezo wa kumudu namba nyingi awapo uwanjani, alijiunga na […]

BUSUNGU, HATA JIWE LIKIACHA MAPEPE LINAWEZA KUWA DHAHABU

NA HALID MTUMBUKA DON Harvey ni mwanafalsafa aliyewahi kuiambia dunia kwamba chochote ambacho ubongo wa mwanadamu utakipokea na kukiamini, ubongo huo utajilazimisha kukipata. Maneno yanaumba. Mwanafalsafa huyu alidhamiria kuuonesha ulimwengu kwamba ubongo wa mwanadamu ukilishwa chakula bora na ukaaminishwa kuamini vilivyo chanya, utakuwa hivyo na utajilazimisha kuwa hivyo siku zote za imani hiyo. Maneno yanaumba. Uliwahi kukisikia kisa cha kitoto […]

WIMBO WA KALA ULIVYOMKUTANISHA MAMA NA MTOTO YAKE

NA THERESIA GASPER UNAPOZUNGUMZIA wasanii ambao ni zao la Bongo Star Search ‘BSS’ ambao wanaendelea kufanya vizuri kwenye muziki wa kizazi kipya, ni pamoja na Jeremiah Masanja,  maarufu kwa jina la ‘Kala Jeremiah’, ambaye ameonekana kukubalika kwenye gemu la muziki huu wa kizazi kipya. Kala alishiriki katika Bongo Star Search ya mwaka 2014, ambapo mshindi alikuwa  Jumanne Iddy na yeye […]

KUMBE DE GEA HAYUPO TATU BORA YA MAKIPA LIGI KUU ENGLAND?

LONDON, England MLINDA mlango wa Manchester United, David de Gea na Hugo Lloris wa Tottenham wamekuwa wakisifiwa sana kwa kazi wanayoifanya na mwishoni mwa wiki hii watakuwa watu muhimu wakati timu zao zinakutana kwenye mchezo wa Ligi Kuu England katika Uwanja wa Old Trafford. Lakini kwa mujibu wa mtandao wa takwimu wa Opta, kuna makipa wengine wamewazidi wawili hao Ligi […]