Category: Makala

Dereva aliyebeba mwili wa Ruge, aeleza alichokiona

*Anasema alitamani aamke, pia ndiye aliyebeba miili ya Chifupa na Ngwair NA JEREMIA ERNEST LEO ni siku ya 15 tangu kuzikwa kwa aliyekuwa mwanzilishi wa Kituo cha THT (Tanzania House of Talent) na Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba. Msiba huo ulibeba hisia za watu mbalimbali kuanzia wanasiasa, wasanii na watu wengine maarufu na wale […]

Chama sawa, ila mwacheni Haruna aitwe Niyonzima 

NA MICHAEL MAURUS Simba imerudia rekodi yao ya mwaka 1974 na 1994 ya kutinga hatua ya robo fainali ya michuano mikubwa kabisa kwa ngazi ya klabu barani Afrika, baada ya Jumamosi iliyopita kuifunga AS Vita ya DR Congo kwa mabao 2-1. Kwa kutinga hatua hiyo ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba imeungana na Al Ahly ya Misri iliyoifunga […]

KICHWA CHINI, MIGUU JUU…Arsenal wangekuwa na kila kitu chini ya Abramovich

LONDON, England KITABU cha maisha kinachomhusu mmiliki wa Chelsea kinaeleza kuwa Roman Abramovich, alihitaji kuinunua Arsenal wala si Chelsea mwaka 2003. Ndani ya kitabu inaelezwa kuwa kumiliki timu ndani ya Ligi Kuu ya England ilikuwa kipaumbele kwa Abramovich ambaye alikuwa na uwekezaji mkubwa wa fedha katika Benki ya Swiss UBS, siri hiyo imetobolewa na waandishi wa kitabu hicho, Joshua Robinson […]

CRISTIANO RONALD Kipenzi cha warembo mwenye tamaa ya mafanikio makubwa

TURIN, Italia JUMANNE ya wiki hii, Juventus walifuta ndoto za Atletico Madrid kutinga robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu huu. Atletico waliiaga michuano hiyo baada ya kuchapwa mabao 3-0 katika mchezo wa marudiano, uliochezwa Hispania kwenye Uwanja wa Allianz. Ronaldo ambaye hakufunga bao lolote kwenye mchezo wa kwanza ambao ulimalizika kwa Juventus kuchapwa mabao 2-0, aliimaliza kazi hiyo […]

Ukata unavyotesa timu Ligi Kuu Tanzanzia Bara

*Bodi ya Ligi yasema haijui kama hali ni tete NA WAANDISHI WETU PAMOJA na Ligi Kuu Tanzania Bara kuonekana kuendelea vizuri nchini, lakini hali ya ukata wa fedha unazidi kuzikumba timu zinazoshiriki ligi hiyo. Viongozi wa timu hizo wamekuwa wakilalamika juu ya suala zima za uendeshaji linavyokuwa gumu kutokana na kukosa mdhamini mkuu wa ligi hiyo kama ilivyokuwa kwa msimu […]

AYOUB LYANGA Mpachika mabao Coastal Union anayewaumiza vichwa Yanga

NA JONATHAN TITO MSHAMBULIAJI wa Coastal Union, Ayoub Lyanga, ni mmoja wa nyota wanaong’ara kwa mabao msimu huu Ligi Kuu Tanzania Bara na tayari kiwango chake kimewavutia Yanga na mwenyewe yuko tayari kujiunga na timu yoyote. Katika msimu huu, Lyanga ametingisha nyavu mara tisa kwa upande wa Ligi Kuu na mara mbili katika michuano ya Azam Sports Federation Cup (ASFC), […]

TAKWIMU ZILIZOTETEMA EL CLASICO

MADRID, Hispania M ACHO ya mashabiki wa soka ulimwenguni yote yalielekezwa katika Uwanja wa Santiago Bernabeu, ambao nyasi zake ziliwaka moto kwa kuzikutanisha timu za Real Madrid na Barcelona. Bila uwepo wa Cristiano Ronaldo, Real Madrid walitoka uwanjani vifua chini baada ya kukubali kichapo cha mabao 3-0 kutoka kwa mahasimu wao hao, Barcelona. Madrid ilipoteza mchezo huo wa marudiano wa […]

Wasanii wanavyomlilia Ruge

NA MWANDISHI WETU HABARI za kifo cha aliyekuwa Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group Tanzania, Ruge Mutahaba, zimeendelea kuwaliza wengi, wakiwamo wasanii wa fani mbalimbali hapa nchini. Ruge alifariki dunia nchini Afrika Kusini alikokuwa akipatiwa matibabu usiku wa Februari 26, mwaka huu. Kifo cha mdau huyo wa habari, burudani, maendeleo ya jamii kwa ujumla, kimepokewa kwa hisia […]

Ruge; nitamwachia nani wanangu?

NA MICHAEL MAURUS RUGE Mutahaba aliyekuwa Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group Tanzania, amefariki dunia usiku wa Februari 26, mwaka huu nchini Afrika Kusini alikokuwa akipatiwa matitabu. Kifo cha Ruge, kimewashtua wengi kutokana na mchango wake katika tasnia ya habari, sanaa, utamaduni, michezo, ujasiriamali, jamii, siasa na mengineyo, kila mmoja akiguswa kwa namna yake. Binafsi nilipata taarifa […]

Leo Kagere atavunja rekodi ya Kibadeni 1977?

NA HENRY PAUL HATIMAYE leo jioni macho na masikio ya wapenzi wa soka nchini yanaelekezwa katika Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam, wakati watani wa jadi, Simba na Yanga, watakapochuana katika mchezo wa mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Watani hao wanacheza leo, huku Yanga ikiongoza ligi hiyo kwa kujikusanyia pointi 58, baada ya kucheza mechi 23, […]