Category: Makala

Winfrida Shonde Mwanasaikolojia aliyenyuma ya mafanikio ya Yanga TPL

NA MWAMVITA MTANDA PAMOJA na Yanga kutopewa nafasi kubwa msimu huu wa Ligi Kuu Tanzania Bara kutokana na kuzorota kiuchumi kwa klabu hiyo kulikotokana na aliyekuwa Mwenyekiti wa timu hiyo, Yusuf Manji kujiuzulu, lakini miamba hiyo ya Tanzania imeweza kusimama na sasa wako kileleni mwa ligi hiyo. Kwasasa timu hiyo ya Yanga inaongoza Ligi Kuu Tanzania Bara wakiwa na pointi […]

Tumaini Philemoni Mpiga tarumbeta aliyefanya African Sports waitwe Wanakimanumanu

NA OSCAR ASSENGA, TANGA MPIGA tarumbeta Tumaini Philemoni Maina si jina maarufu kwa wapenda soka nchini, lakini staili yake ya kupiga chombo hicho iitwayo Kimanumanu ina umaarufu mkubwa na kusababisha timu ya African Sports ya Tanga ambayo kwa sasa inashiriki Ligi Daraja la Pili Taifa, kupewa jina la utani la Wanakimanumanu. Tumaini ni shabiki mkubwa wa African Sports, ambaye alikuwa […]

Baba na mwana Mastaa ambao waliwahi kufundishwa na baba zao

MADRID, Hispania MWISHONI mwa wiki Kocha Zinedine Zidane alimwanzisha mwanawe, Luca, katika kikosi cha kwanza cha Real Madrid ambacho kiliivaa timu ya Huesca, katika mchezo wa Ligi Kuu ya Hispania, La Liga. Hatua hiyo imemfanya kocha huyo kuwa mwingine ambaye anafundisha timu ambayo anaichezea mwanawe. Katika makala haya tutaangalia baadhi ya wachezaji wa soka la kulipwa ambao wamewahi kufundishwa na […]

Wakali wa kucheka na nyavu Ligi Kuu Wanawake Tanzania

NA DAMIAN MASYENENE MBIO za kumsaka bingwa wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Bara (SWPL) zimezidi kunoga, baada ya Machi 9, mwaka huu, kuingia duru la lala salama, huku mabingwa watetezi, JKT Queens ya Dar es Salaam, wakipewa nafasi kubwa ya kutetea taji lao kutokana na kucheza mechi 12, wakishinda zote. Hata hivyo, mvuto mkubwa uko kwenye mbio za wapachika […]

Cheki hizi namba 10 hatari zilizotesa Brazil

SRIO, Brazil KAMA ulikuwa haufahamu, Brazil ndilo taifa lenye historia kubwa ya kuwa na washambuliaji mahiri kuwahi kuvaa jezi namba 10. Miaka na miaka, wameibuka wachezaji wenye vipaji vya kuipendezesha jezi hiyo. Kwa taarifa yako tu, kwa Brazil jezi hiyo namba 10 imeshavaliwa na washindi kadhaa wa Kombe la Dunia na tuzo ya Ballon d’Or. Lakini, ni mchezaji gani bora […]

Historia ya TP MAZEMBE…Jinsi Katumbi alivyowapika upya wapinzani wa Simba 

NA JONATHAN TITO TIMU nane zilizoingia hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika tayari zimejua wapinzani wao, ikiwamo wawakilishi wa Tanzania, Simba ambao wamepangwa kukutana na wafalme wa michuano hiyo kwa mara tano, TP Mazembe. Droo ya kupanga mechi za robo fainali baada ya hatua ya makundi kumalizika ilifanyika juzi mjini Cairo, Misri. Miamba hiyo ya Ligi Kuu […]

Rabiot na wengine walioajiri wazazi kuwa mawakala wao

LONDON, England KUNA sekeseke zito linaloendelea pale PSG kati ya kiungo Andre Rabiot na uongozi wa klabu hiyo. Rabiot hajaichezea PSG tangu Desemba, mwaka jana, na adhabu ya kufungiwa na timu hiyo inatarajiwa kufikia ukomo wake Machi 27. Rungu hilo lilitokana na kitendo chake cha kuonekana katika moja ya kumbi za usiku, licha ya kwamba ni saa chache tu baada […]

HAWAFAI… KAA MBALI NA MOTO WA MAFOWADI HAWA AISEE

LONDON, England KUNDI la washambuliaji limeendelea kutazamwa na wengi hasa katika majukumu yao ya kuweka mpira kimiani. Ingawa katika soka la kisasa kundi hilo limevamiwa na wachezaji wengi ambao wanaulainisha mpira na kufanya mbwembwe, tofauti na miaka ya nyuma. Anaweza kuwa kiasili si straika, lakini kwa kucheza tu eneo hilo anakuwa hatarishi zaidi na kuifanya timu yake iweze kupata matokeo […]

Bonsu; Nyota Afcon 2019 aliyeonja jela kisa demu wa kizungu

ACCRA, Ghana MITANANGE ya mwisho ya kuwania nafasi ya kwenda Misri zitakakofanyika fainali za Mataifa Afrika za mwaka huu (Afcon 2019), inatarajiwa kuchezwa mwishoni mwa wiki hii. Katika maandalizi ya mechi hizo, kocha wa timu ya taifa ya Ghana, Stephen Appiah, ameshaita kikosi chake kinachojiwinda na mchezo wa kufukuzia tiketi ya kwenda Misri kwa ajili ya fainali za Mataifa Afrika […]