Category: Latest News

SILVA: ARSENAL NAO WAMO MBIO ZA UBINGWA

MANCHESTER, England   KIUNGO wa timu ya Manchester City, Bernado Silva, amezitaja timu nne zenye uwezo wa kuipa upinzani klabu yake kwenye mbio za kuwania ubingwa wa Ligi Kuu England, ikiwemo timu ya Arsenal. Silva na City yake wana jukumu zito la kutetea ubingwa wao msimu huu, baada ya kuweka rekodi ya kipekee msimu uliopita waliponyakua taji la ligi hiyo […]

VIERI AWATOLEA UVIVU WACHEZAJI WA INSTAGRAM

MILAN, Italia   MSHAMBULIAJI wa zamani wa Italia, Christian Vieri, amewaibukia mastraika wa kizazi hiki kwa maisha yao ya ‘kuuza sura’ kwenye mitandao ya kijamii kuliko kunoa viwango vyao vya kupachika mabao. Vieri anakumbukwa kwa kuzitumikia timu za Inter Milan na Juventus, ambako alikuwa akicheka na nyavu kwa kiwango cha kuridhisha. Lakini gwiji huyo alisema kuwa washambuliaji wa miaka ya […]

Vichai kuzikwa kesho, mwanawe aahidi kuendeleza mapambano

LONDON, England   MAZISHI ya mmiliki wa klabu ya Leicester City, Vichai Srivaddhanaprabha, aliyefariki kwenye ajali ya kuanguka na kuungua kwa helikopta yake mwenyewe, yanatarajiwa kuanza wikiendi hii jijini Bangkok kwenye nchi aliyozaliwa ya Thailand. Srivaddhanaprabha, 60, alikuwa ni mmoja wa wahanga watano waliokuwepo kwenye helikopta iliyoanguka katika uwanja wa kupaki magari nje ya Uwanja wa Leicester, King Power, usiku […]

PAMBANO LA WATANI … KUZIONA SIMBA, YANGA 7,000/-

DEBORA MBWILO (TUDARCo) NA KELVIN SHANGALI (TUDARCo)   HOMA ya pambano la watani wa jadi, Simba na Yanga, limezidi kupanda baada ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), jana kutangaza viingilio vya mchezo huo utakaopigwa Septemba 30, mwaka huu, huku cha chini kikiwa shilingi 7,000. Simba ndio watakaokuwa wenyeji wa mchezo huo wa kwanza wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu […]

AMUNIKE ASALIMU AMRI KWA NYONI, MKUDE

NA MWAMVITA MTANDA   KOCHA mkuu wa timu ya Taifa, Taifa Stars, Emmanuel Amunike, amesema atawajumuisha kikosini mwake nyota kadhaa wa Simba, wakiwamo kiungo mkabaji, Jonas Mkude. Mbali ya fundi huyo, wachezaji wengine aliowataja ni beki Erasto Nyoni na mshambuliaji, John Bocco. Mnigeria huyo amefikia uamuzi huo kutokana na kile alichodai kubaini pengo la nyota huyo na wenzake kadhaa wakati […]

AZAM KUMKOSA KUTINYU MECHI NA MWADUI

 |  NA WINFRIDA MTOI     TIMU ya Azam FC itamkosa kiungo wao Mzimbabwe, Tafadzwa Kutinyu, katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Mwadui FC, unaotarajiwa kupigwa kesho kwenye Uwanja wa Mwadui Complex, Shinyanga. Kutinyu anatarajia kuwasili leo jijini Dar es Salaam, akitokea Congo Brazzaville, ambako alikuwa na timu ya Taifa ya Zimbabwe, iliyocheza mechi ya kufuzu fainali za […]

SERENGETI BOYS KUSHIRIKI COSAFA

    NA WINFRIDA MTOI   TIMU ya Taifa ya vijana wenye umri chini ya miaka 17, Serengeti Boys, imealikwa kushiriki  michuano ya soka ya nchi za kusini mwa Afrika (Cosafa), yanayotarajiwa kuanza Desemba 7-29, mwaka huu, nchini Botswana. Akizungumza na BINGWA jana, kocha wa kikosi hicho, Oscar Milambo, alisema kutokana na mwaliko huo, wanatarajia kuingia kambini Septemba 22, mwaka […]

OKWI, KAGERE, WAWA WAMKUNA KOCHA SIMBA

NA MWANDISHI WETU   KOCHA wa viungo wa Simba, Mtunisia Adel Zrane, ameweka wazi jinsi anavyokunwa na wachezaji Emmanuel Okwi, Meddie Kagere na Pascal Wawa, kwa kuwa miongoni mwa wachezaji wanaokwenda sawa na mazoezi yake. Kocha huyo aliyetua Simba kwa mkataba wa mwaka mmoja kutokana na pendekezo la Kocha Mkuu, Mbelgiji Patrick Aussems, aliliambia BINGWA jana kuwa, mazoezi yake huwa […]