Category: Latest News

Filamu ya Bongo kuonyeshwa Netflix

Bethsheba Wambura, Dar es Salaam Huenda waigizaji wa filamu nchini Tanzania wakaonekana kwa mara ya kwanza katika jukwaa la Netflix ambalo huonesha filamu mbalimbali duniani. Jambo hili linawezekanaje? Hii inawezekana baada ya mazungumzo kati ya waandaji wa filamu ya ‘Cops Enemy’ iliyoshirikisha waigizaji wa Tanzania na wanaoishi nje ya nchi na Netflix kukamilika. Filamu hiyo imegharimu Sh. Milioni 200 imeongozwa […]

ZAHERA ANAPOTUKUMBUSHA DAWA YA MOTO NI MOTO

NA AYOUB HINJO WAPO wanaoamini na kuishi kwa kutukuza misemo, ndio hao wapo karibu mahali kote duniani, tena hufuatilia kwa ukaribu kweli kweli ili kupata njia mpya za kuishi. Pia, moja ya misemo ambayo imekuwa ikitumika hapa nchini ni dawa ya moto ni moto, maana yake ubaya unalipizwa kwa ubaya na kinyume chake. Napenda kumsikiliza Kocha wa Yanga, Mwinyi Zahera, […]

TAJIRI WA MASIKINI -31-

Ilipoishia “Kuna sheria moja iko ndani ya bustani ambayo wote waliopewa nafasi ya kufanya majaribio waliivunja sijui wewe,” aliongea kiasi cha kuniogopesha sana. “Sheria gani dada?” niliuliza kwa woga wa hali ya juu. “Ulipofika eneo la mwisho kabisa bila shaka ulimuona msichana?” aliniuliza.  “Ndio nimemuona.”  “Umemsemesha?”  “Hapana.”  “Una hakika?”  “Ndio hata kuniona hajaniona.”  “Kwanini hukumsemesha?”  “Kwa sababu kazi yangu ilikuwa […]

SUAREZ AKIRI BARCA INAHITAJI STRAIKA

CATALONIA, Hispania STRAIKA wa klabu ya Barcelona, Luis Suarez, amesema ni kawaida kwa klabu yake hiyo kuhusishwa na majina ya washambuliaji mbalimbali, akikiri kwamba wanahitaji nguvu mpya kwenye safu ya mashambulizi. Suarez alipachika mabao matatu na kuipa Barcelona ushindi mnono wa mabao 5-1 dhidi ya Real Madrid wikiendi iliyopita, lakini anaamini kwamba straika mpya anahitajika ili amsaidie kubeba jukumu la […]

SILVA: ARSENAL NAO WAMO MBIO ZA UBINGWA

MANCHESTER, England   KIUNGO wa timu ya Manchester City, Bernado Silva, amezitaja timu nne zenye uwezo wa kuipa upinzani klabu yake kwenye mbio za kuwania ubingwa wa Ligi Kuu England, ikiwemo timu ya Arsenal. Silva na City yake wana jukumu zito la kutetea ubingwa wao msimu huu, baada ya kuweka rekodi ya kipekee msimu uliopita waliponyakua taji la ligi hiyo […]

VIERI AWATOLEA UVIVU WACHEZAJI WA INSTAGRAM

MILAN, Italia   MSHAMBULIAJI wa zamani wa Italia, Christian Vieri, amewaibukia mastraika wa kizazi hiki kwa maisha yao ya ‘kuuza sura’ kwenye mitandao ya kijamii kuliko kunoa viwango vyao vya kupachika mabao. Vieri anakumbukwa kwa kuzitumikia timu za Inter Milan na Juventus, ambako alikuwa akicheka na nyavu kwa kiwango cha kuridhisha. Lakini gwiji huyo alisema kuwa washambuliaji wa miaka ya […]

Vichai kuzikwa kesho, mwanawe aahidi kuendeleza mapambano

LONDON, England   MAZISHI ya mmiliki wa klabu ya Leicester City, Vichai Srivaddhanaprabha, aliyefariki kwenye ajali ya kuanguka na kuungua kwa helikopta yake mwenyewe, yanatarajiwa kuanza wikiendi hii jijini Bangkok kwenye nchi aliyozaliwa ya Thailand. Srivaddhanaprabha, 60, alikuwa ni mmoja wa wahanga watano waliokuwepo kwenye helikopta iliyoanguka katika uwanja wa kupaki magari nje ya Uwanja wa Leicester, King Power, usiku […]

PAMBANO LA WATANI … KUZIONA SIMBA, YANGA 7,000/-

DEBORA MBWILO (TUDARCo) NA KELVIN SHANGALI (TUDARCo)   HOMA ya pambano la watani wa jadi, Simba na Yanga, limezidi kupanda baada ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), jana kutangaza viingilio vya mchezo huo utakaopigwa Septemba 30, mwaka huu, huku cha chini kikiwa shilingi 7,000. Simba ndio watakaokuwa wenyeji wa mchezo huo wa kwanza wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu […]

AMUNIKE ASALIMU AMRI KWA NYONI, MKUDE

NA MWAMVITA MTANDA   KOCHA mkuu wa timu ya Taifa, Taifa Stars, Emmanuel Amunike, amesema atawajumuisha kikosini mwake nyota kadhaa wa Simba, wakiwamo kiungo mkabaji, Jonas Mkude. Mbali ya fundi huyo, wachezaji wengine aliowataja ni beki Erasto Nyoni na mshambuliaji, John Bocco. Mnigeria huyo amefikia uamuzi huo kutokana na kile alichodai kubaini pengo la nyota huyo na wenzake kadhaa wakati […]