Category: Hadithi

KATAA HALI HII, HAYA SI MAHUSIANO UNAYOSTAHILI

NA RAMADHANI MASENGA KUNA wengi wakipita mitaani wanachekwa kisa mapenzi. Wengine imepelekea kufukuzwa kazini kwa ufujaji wa fedha, kisa mapenzi. Mapenzi yamewafanya baadhi ya watu kuishi katika aina ya maisha ambayo hawajawahi hata kuyaota. Katika hili ndiyo maana msemo dhaifu wa mapenzi mabaya huwa unazuka. Mapenzi si mabaya ila kuwa watu wenye akili mbaya wanatumia mapenzi katika malengo mabaya na […]

TSC ACADEMY WAWAKILISHI WA TANZANIA… KOMBE LA DUNIA LA WATOTO WA MITAANI

  NA MASYENENE DAMIAN, MWANZA DUNIA ya soka inasubiria kwa hamu kubwa kuanza kwa michuano ya Kombe la Dunia nchini Urusi, itakayoanza Juni 14, mwaka huu ikishirikisha nchi 32. Watu wengi wamekuwa wakifuatilia sana     michuano hiyo, lakini kuna mambo mengi hufanyika kabla ya fainali hizo, mojawapo ya hayo ni fainali za Kombe la Dunia kwa Watoto wanaotoka mitaani yaani ‘The […]

MAPIGANO MATAKATIFU – 49 –

Ilipoishia Msichana Nina akiwa nyumbani aliletewa taarifa na rafiki yake kuwa malkia Zayana amewaruhusu watu wote wapandishe mlimani kwenda kumwona chifu. Taarifa hiyo ilimshtua Nina aliyekuwa amemkumbuka mpenzi wake Tela kiasi cha kumkondesha mwili. Hakuamini kabisa, kwanza alikuwa na maswali mengi maana yeye alijua kuwa Tela alikuwa Bitapor. SASA ENDELEA… Swali hilo lilibaki moyoni mwake maana ilikuwa ni siri kati […]

UONGOZE MOYO WANGU (50)

NA EMAN FISIMA, +255 654 076 265 Ilipoishia Wakati Albat na Shania wakiongozwa na wapigaji kuelekea kwenye vyumba vyao, Albat alimuona mwanamke mmoja aliyekuwa ameketi karibu na kompyuta. Mwanamke huyo alikuwa amevaa nguo nyeusi hijabu na nikabu, yalionekana macho yake tu. SASA ENDELEA Mwanamke huyo alikuwa makini kwenye kompyuta akiandika vitu fulani. Albat alimtazama na kumpita akiwa amemshika Shania mkono. […]

UONGOZE MOYO WANGU (47)

Na Eman Fisima  Ilipoishia Maelezo ya msichana raia wa Syria, Shania yalithibitisha kuwa Leo Pordina hakuwa ameondoka na boti za wakimbizi endapo kama alikuwa amepona kwenye ajali ya ndege.  Hali hiyo ilizidi kumuweka Albat katika wakati mgumu, moyo wake ulishaanza kusinyaa, akili yake ilishasimama kwanza. Hakujua kama Leo Pordina alikuwa amezikwa pale kwenye kaburi la abiria wote au alikuwa amepona […]

SIMBA: HATUJAMTELEKEZA AVEVA

TIMA SIKILO NA JAPHARY LESSO (DSJ) UONGOZI wa Simba umesema madai ya kwamba wamemtelekeza Rais wa klabu hiyo, Evans Aveva aliyelazwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dar es Salaam, hayana ukweli wowote. Rais huyo wa Simba ambaye amekuwa mahabusu kutokana na kukabiliwa na kesi ya utakatishaji wa fedha, alipelekwa Hospitali ya Temeke, jijini na baadaye kuhamishiwa Muhimbili kutokana na kusumbuliwa […]

UONGOZE MOYO WANGU-31 (GUIDE MY HEART)

Ilipoishia  “Lukas alimkabidhi mwanangu kitabu ambacho alikubali kuhatarisha maisha yake ili kisipotee katika mikono yao. Mwanangu alikipokea kwa kilio kikubwa baada ya kukipokea, Lukas alimwambia.  SASA ENDELEA “Mpenzi wangu mwenye thamani kubwa ndani ya maisha yangu, nakukabidhi kitabu hiki chenye  nguvu kubwa ya mapenzi yetu. Nisamehe sana maana nimeshindwa kupigania uhai wangu ambao ni mali yako, lakini naamini nitarudi kwa […]

UONGOZE MOYO WANGU

Ilipoishia “Mama nimefurahi kukuona, nimesafiri kutoka Afrika Kusini kwa ajili yako, natamani kuongea na wewe,” aliongea Albat kwa tabasamu akiwa amemshika mama Leo Pordina mgongoni.  “Nami nimefurahi kukuona,” alijibu mama Leo Pordina. Hakika wote walibaki midomo wazi kwa mshangao wa aina yake. SASA ENDELEA KATIKA hali isiyo ya kawaida, Tayana Leo, aliweza kuzungumza. Kitendo hicho kilikuwa ni muujiza mkubwa sana […]

UONGOZE MOYO WANGU

Ilipoishia Aligeuka na kurudi aliko kaa bila kumjibu lolote. Yule msichana alishangazwa na kitendo cha mwanaume kuja mbele yake na  kumwita jina lisilo lake. Albat alikaa kwenye kiti chake aliwatazama baadhi ya abiria wa pembeni yake na kutazama dirishani. Akili yake iliamini Leo Pordina alikuwa pamoja naye. SASA ENDELEA SAA 2:00 mshale wa dakika ukiwa unaelekea kwenye eneo la dakika […]