Category: Hadithi

UPENDO KUSHINDA UFAHAMU [20]

Ilipoishia Jumamosi Roika alikuwa amepanga tena kusafiri  kwa mara ya pili kumfuata mrembo wa dunia, Ramona Fika nchini Pakistani. Kwa akili ya kawaida ya binadamu isingeweza kufanya hivyo, ukizingatia nchi ya Pakistan haina amani ya kutosha. Roika hakujali Ramona amekwenda kufanya nini, alichojali yeye ni mapenzi. Siku ya nne hiyo, alishakuwa amemsahau mpenzi wake Biyanah mwanamke tajiri mtoto wa bilionea […]

UPENDO KUSHINDA UFAHAMU

Ilipoishia Jana Ramona, mwanamke pekee kutoka Afrika aliyeshinda taji la mrembo wa dunia (Miss World) anataka kuja kuwa miongoni mwa wanawake matajiri barani Afrika na duniani kwa ujumla. Ramona alikuwa na msemo wake uliompa nguvu ya kuja kufanikiwa. Msemo uliosema yuko tayari kufanya chochote, biashara yoyote ile ili kufika kilele cha mafanikio isipokuwa, kuuza mwili wake. Baada ya kuoga Roika […]

Upendo kushinda Ufahamu [18]

Ilipoishia jana Uamuzi aliokuwa ameufikia ni kuamua kumfuata Roika nchini Mexico, akijua kuwa Roika yuko huko kikazi. SASA ENDELEA NCHINI HAITI UZIMA ndani ya kidonda cha mapenzi ulianza kuonekana kwa Roika. Alijiona mwepesi kidogo tofauti na siku zote. Kuwepo pembeni ya Ramona kulimpa matumaini makubwa ya kufanikiwa kumuoa mrembo huyo wa dunia. Siku hiyo walikuwa wametoka nje ya hoteli ya […]

Upendo Kushinda Ufahamu [17]

Ilipoishia Jumanne Kabla hawajazamia koridoni, tayari Roika alikuwa nyuma yao. Watu hao walipofika mlango wa chumba cha Ramona walisimama na kubisha hodi. Ramona aliyekuwa ndani alifungua mlango wote wanne waliingia ndani. Roika Malino alishtuka sana, alibaki ameganda pale nje, asijue watu wale wamefuata nini chumbani kwa Ramona. SASA ENDELEA ALIBAKI amesimama pale koridoni akiutafakari ujio wa wale watu waliokuwa wameingia […]

UPENDO KUSHINDA UFAHAMU [16]

Ilipoishia jana Siku ya pili Roika alikuwa anaingia hotelini, hii ilikuwa ni baada ya asubuhi kuondoka kwenda katika mizunguko yake, alipoamua kuutembelea mji wa Ampiana. Baada ya kushuka ndani ya taksi alikuwa anaelekea upande wa bustanini kuliko na mlango wa kuingilia katika jengo la chumba chake. Ghafla alimuona Ramona akiwa amekaa bustanini karibu na njia aliyotakiwa kupita yeye.  Alikuwa amevaa […]

UPENDO KUSHINDA UFAHAMU

Ilipoishia Jumamosi Saa saba kasoro usiku dereva wa teksi alikuwa anaingia katika viunga vya bustani, katika hoteli ya Lompi. Hoteli ya Lompi ilikuwa ni hoteli nzuri  na yenye mvuto wa aina yake. Roika alipoiona, alibaki anatoa macho kwa jinsi hoteli hiyo ilivyokuwa na mazingira mazuri na yenye utulivu wa hali ya juu, ilikuwa kama vile nyumba ya mtu binafsi. Maua […]

UPENDO KUSHINDA UFAHAMU

Jumbe alizojibiwa ni chache kuliko zile alizotuma. Hakika alihisi moto unawaka kupita kiasi katika maumivu yake ya mapenzi. Hali hiyo ilichangia kutokula chakula na kutofanya kazi yoyote siku ya tatu mara baada ya Roika kuelekea Mexico. SASA ENDELEA Alianza kumtafuta Roika kwenye simu akitaka kuongea naye, maana ilikuwa ni siku ya tatu Roika hakuwa amemjibu kuwa atarudi lini, licha ya […]