Category: Hadithi

UPENDO KUSHINDA UFAHAMU

Ilipoishia jana WAKATI huo Roika alikuwa katika Hospitali ya Mohamed Words, hospitali ya pili kwa ukubwa katika Jiji la Islamabad, akisaidia watoto waliojeruhiwa katika shambulizi la kigaidi lililotokea katikati ya Barabara ya Ramat, akiwa pamoja na Jeshi la Umoja wa mMataifa na polisi wa nchi hiyo. Japo alikuwa anatamani kurudi hotelini kwa mwanamke aliyeiteka akili yake, lakini mapenzi na huruma […]

UPENDO KUSHINDA UFAHAMU

Ilipoishia juzi Saa saa sita mchana tayari walikuwa wamekwishafika jijini Islamabad. Na kwa muda huo walikuwa katika msongamano wa magari. Foleni ilikuwa kubwa, Roika aliendelea kuongea na dereva wake hadithi za hapa na pale, wakati wakisubiri askari aliyesimama kwenye taa auruhusu upande wao. Ghafla mlipuko mkubwa wa bomu ulisikika. SASA ENDELEA Kishindo kikubwa kilisika, upepo mkubwa ulioambatana na moshi mzito […]

UPENDO KUSHINDA UFAHAMU [25]

Ilipoishia Jana Roika hakujibu chochote, alibaki kimya kwa sekunde kadhaa, kitendo kilichozidi kumshtua Ramona. Baadaye kwa moyo wa ujasiri, moyo uliomfanya kusafiri kutoka Mexico kwenda Haiti na baadaye kutoka Haiti kuja Pakistani, ulimtuma kumwambia Ramona kile alichokuwa amekijia Pakistani.  “Ramona nakupenda sana, naomba uje kuwa mke wangu.” SASA ENDELEA Ilionyesha kuwa Ramona alikuwa anajua wazi kama Roika anampenda. Kwani aliposikia […]

UPENDO KUSHINDA UFAHAMU [24]

Ilipoishia jana Aliamua kulelekea kwenye lifti ambapo aliingia na kubonyeza kitufe namba sifuri, akitaka kwenda chini kwanza kabla ya kuelekea ghorofa ya nne ambako kuna chumba chake. Alipofika chini ambako kuna watu wengi, mbele yake aliwaona watu wasiopungua watano, wakitoka nje na kuingia ndani ya hoteli, wakija kwenye lifti. Watu hao aliwaona ni wa tofauti kidogo, kutokana na umakini wao […]

UPENDO KUSHINDA UFAHAMU [22]

Ilipoishia Jumanne Akiwa anautafakari ujumbe huo, alikutana na picha aliyokuwa ametumiwa na rafiki yake Ramona. Picha hiyo ilimuonyesha Ramona akiwa yuko sehemu ya michezo ya farasi na mwanaume. Biyanah alipomtazama mwanaume huyo alishtuka. SASA ENDELEA BIYANAH hakuyaamini macho yake kwa kile anachokiona, japo ubongo wake ulishatambua mara moja, lakini hali ya kukubali kuwa mwanaume aliyopo kwenye picha ya Ramona ni […]

Upendo kushinda ufahamu [21]

Ilipoishia jana Ndege ya Haiti airways ilikuwa inatua uwanja wa kimataifa wa Jiji la Yerusalemu nchini Israel. Akili ya Roika ilikuwa mbali ikimfikiria Ramona. Hakika alikuwa ni mtu aliyekuwa amejitoa ufahamu, hakutaka kujiuliza mara mbili mbili juu ya safari yake ya kumfuata mrembo Ramona nchini Pakistani. Saa mbili baadaye alikuwa tena ndani ya ndege, akiondoka Israel kuelekea Pakistani. SASA ENDELEA […]

UPENDO KUSHINDA UFAHAMU [20]

Ilipoishia Jumamosi Roika alikuwa amepanga tena kusafiri  kwa mara ya pili kumfuata mrembo wa dunia, Ramona Fika nchini Pakistani. Kwa akili ya kawaida ya binadamu isingeweza kufanya hivyo, ukizingatia nchi ya Pakistan haina amani ya kutosha. Roika hakujali Ramona amekwenda kufanya nini, alichojali yeye ni mapenzi. Siku ya nne hiyo, alishakuwa amemsahau mpenzi wake Biyanah mwanamke tajiri mtoto wa bilionea […]

UPENDO KUSHINDA UFAHAMU

Ilipoishia Jana Ramona, mwanamke pekee kutoka Afrika aliyeshinda taji la mrembo wa dunia (Miss World) anataka kuja kuwa miongoni mwa wanawake matajiri barani Afrika na duniani kwa ujumla. Ramona alikuwa na msemo wake uliompa nguvu ya kuja kufanikiwa. Msemo uliosema yuko tayari kufanya chochote, biashara yoyote ile ili kufika kilele cha mafanikio isipokuwa, kuuza mwili wake. Baada ya kuoga Roika […]

Upendo kushinda Ufahamu [18]

Ilipoishia jana Uamuzi aliokuwa ameufikia ni kuamua kumfuata Roika nchini Mexico, akijua kuwa Roika yuko huko kikazi. SASA ENDELEA NCHINI HAITI UZIMA ndani ya kidonda cha mapenzi ulianza kuonekana kwa Roika. Alijiona mwepesi kidogo tofauti na siku zote. Kuwepo pembeni ya Ramona kulimpa matumaini makubwa ya kufanikiwa kumuoa mrembo huyo wa dunia. Siku hiyo walikuwa wametoka nje ya hoteli ya […]

Upendo Kushinda Ufahamu [17]

Ilipoishia Jumanne Kabla hawajazamia koridoni, tayari Roika alikuwa nyuma yao. Watu hao walipofika mlango wa chumba cha Ramona walisimama na kubisha hodi. Ramona aliyekuwa ndani alifungua mlango wote wanne waliingia ndani. Roika Malino alishtuka sana, alibaki ameganda pale nje, asijue watu wale wamefuata nini chumbani kwa Ramona. SASA ENDELEA ALIBAKI amesimama pale koridoni akiutafakari ujio wa wale watu waliokuwa wameingia […]